Jackson jonh
Member
- Aug 11, 2011
- 46
- 7
Nina mpenzi ambae nimeshafanya naye mapenzi nae zaidi ya mara nne, ila kwa sasa amekuwa hataki kufanya mapenzi nami, akidai kuwa anaumia pindi anapofanya mapenzi, ninapomueleza basi tuachane, hataki anasema ananipenda.
Nifanyeje? Ushauri tafadhali
Nifanyeje? Ushauri tafadhali