Jackson jonh
Member
- Aug 11, 2011
- 46
- 7
Yawezekana Mkuu, kama sio basi watumieni vilainishianamagonjwa ya zinaaa
Kwa hiyo unAtaka kumuacha kwa sababu hataki kushiriki tendo nawe?? Ni jinsi gani upo kwake kwa ajili ya ngono tu
Jambo rahisi hii, amtibu mpaka apone alafu waendelee,kama anahisi maumivu atafurahi vipi tendo? Mambo mengine hayahitaji shule wala ushauri.