Mwanamke hujui tofauti ya demu na mpenzi hama duniani

Mwanamke hujui tofauti ya demu na mpenzi hama duniani

khaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaa😕
 
Demu wangu nimempiga chini baada ya kuniforce nimuoe. Natafta demu mwingine humu JF.
 
mfyuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuu
Povu lote hili[emoji12] [emoji12] [emoji12] [emoji12] [emoji12]
 
Niaje Wazeiyaaaaaah....

EBANA SAWA:
Nimecheka mpaka kidogo nijikojolee baada ya kusikia madem wa humu MMU wanataka kuandamana kupinga kuitwa madem....

Yaani mnataka kuikana gender yenu sio....????
Demu ni mwanamke yeyote unayeweza kumgonga bila kufunga ndoa....
Mfano nyie wanawake wa humu hakuna nilofunga naye ndoa sio?? Basi nyie wote ni madem kwangu....

Demu sio mpenzi, havihusiani kabisaaa...
Hata demu wangu ni demu... Nikishamuoa tu simuiti demu tena... Anakua mke..

Nikisema "Daah.. mademu wa mikoani washamba kinyama" simaanishi kuwa wanawake wote wa mikoani ni wapenzi wangu.... La hasha, bali naweza kuwabanjua na kuwatema....

SASA NASEMA HIVI:
Nyie wanawake wote humu MMU ni madem tuuu...

Semeni "Asante kaka Chief kwa kutuelewesha"

[HASHTAG]#Chief[/HASHTAG] Eng.
Mkuu umeamua kuwachokoza hahahahhh
 
Back
Top Bottom