Mwanamke hujui tofauti ya demu na mpenzi hama duniani

Bora uitwe demu wangu lakini siyo kidemu changu
 
khaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaa😕
 
Demu wangu nimempiga chini baada ya kuniforce nimuoe. Natafta demu mwingine humu JF.
 
Povu lote hili[emoji12] [emoji12] [emoji12] [emoji12] [emoji12]
 
Mkuu umeamua kuwachokoza hahahahhh
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…