Mwanamke, huwezi kutoa mimba yangu halafu utegemee nikuoe

Mwanamke, huwezi kutoa mimba yangu halafu utegemee nikuoe

chakii

JF-Expert Member
Joined
Sep 15, 2013
Posts
20,834
Reaction score
26,217
Mwanamke huwezi kutoa mimba yangu alafu utegemee nikuoe.Never, hata wanangu wajao hushindwi kuwaua.

Take it!
 
Hata nikinusa kuwa wataka toa basi ni teke...
Hata ukiongelea kuhusu kutoa basi ni kwa heri
 
Hata nikinusa kuwa wataka toa basi ni teke...
Hata ukiongelea kuhusu kutoa basi ni kwa heri

Kama je ni mwanafunzi, na una malengo ya kumuoa badae.Chukulia ni mwanafunzi form six
 
Kama je ni mwanafunzi, na una malengo ya kumuoa badae.Chukulia ni mwanafunzi form six

Watu wanapewa mimba wako form One wanazaa sembuse wa Form Six....
Ajaribu tu aone Utalibani wangu
 
Huyo c atakuja kuacha shule kabisa

Hawezi acha shule maana ataendelea kusoma baada ya mwaka..
Hakuna sababu yoyote ile inayohalalisha utoaji wa mimba... bora mtu azae ijulikane kazaa kuliko kuficha kitu ambacho kinaumiza moyoni sana.
Vipi kama atoe afe, au ndo kizazi kitoke jumla.... pia kuuua kiumbe kisichojielewa hapana.
 
Kama kweli una mapenzi haswaa na watoto huto risk kumpa mimba mwanamke kabla hamjaamua na kukubaliana kuzaa.
 
haya maneno wanayasemaga wakioa halafu wanakosa mtoto but kabla ya hapo, ooh mi siko tayari kulea sahivi...
 
Hamna lolote wakitaka kutunza mimba hamuishi sababu ,ooh siko tayari kuwa baba na blahblah nyiingi
 
Back
Top Bottom