Mwanamke, huwezi kutoa mimba yangu halafu utegemee nikuoe

Mwanamke, huwezi kutoa mimba yangu halafu utegemee nikuoe

Kama je ni mwanafunzi, na una malengo ya kumuoa badae.Chukulia ni mwanafunzi form six

Kwanza wanaume ndio chanzo kikuu cha wadada kutoa mimba. Akiambiwa atumie kondom anasema atatumiaje kwa mke mtarajiwa. Mimba ikiota anasema bora kuitoa maana hajajiandaa kubebajukumu ya familia,.nk Hapo ushukuru hajakutimua.
 
Umenikumbusha kitu. Kuna kiumbe 'kilinidip' mie nilivyopiga hadi leo hakiamini..
 
Wanaume wengine ni manyang'au yanaotesha mimba halafu hayataki kufanya malezi eti hayupo tayari kulea kwa sasa condom pia hataki kutumia mxiuuuuuuuu sijui mwalimu wenu ni nan
 
Wanaume wengine ni manyang'au yanaotesha mimba halafu hayataki kufanya malezi eti hayupo tayari kulea kwa sasa condom pia hataki kutumia mxiuuuuuuuu sijui mwalimu wenu ni nan

Tatizo mmekariri, kwa walio tiyari kuoa unawaambia nini..
 
Ila kuna sababu nyingi zinazopelekea mpaka mwanamke anatoa mimba. Inawezakana aliye nae ana maisha ya kuunga unga, akija tajiwa mimba lazima pachimbike. Inawezakana aliye nae yupo nae kwa ajili ya pesa zake na siyo upendo wala kuzaa nae. Inawezekana aliye nae hajawahi kuonesha utayari wowote we je nikishika ujauzito itakuwaje, yani mwanamke anakuwa ashayajua majibu kwamba akinasa nini cha kufanya. Wengine wanazikana mimba, mwanamke anaona isiwe tabu anatoa. Ingawa utaoji mimba una madhara makubwa sana, na haipendezi kabisa.
 
Asilimia 60% ya wanafunzi waliojingiza kwenye mapenzi kabla ya muda wameshiriki kuua viumbe tumboni
 
Mwanamke huwezi kutoa mimba yangu alafu utegemee nikuoe.Never, hata wanangu wajao hushindwi kuwaua.

Take it!

Inategemea na utoaji, hilo suala la ubabe ubabe ishapitwa na wakati. Hayo mambo ni ya kuelewana tu acha ushamba wewe dunia imebadilika kuwasema sema wanawake 'kama watu 2nd class (rejea neno 'mimba yangu') ' its deplorable and illicit katika miaka hii
 
Back
Top Bottom