Sema hakyamungu....
Hata nikinusa kuwa wataka toa basi ni teke...
Hata ukiongelea kuhusu kutoa basi ni kwa heri
Kama je ni mwanafunzi, na una malengo ya kumuoa badae.Chukulia ni mwanafunzi form six
Umeshatoa ngapi hadi sasa??
Watu wanapewa mimba wako form One wanazaa sembuse wa Form Six....
Ajaribu tu aone Utalibani wangu
Huyo c atakuja kuacha shule kabisa
Kama kweli una mapenzi haswaa na watoto huto risk kumpa mimba mwanamke kabla hamjaamua na kukubaliana kuzaa.