Ila kuna sababu nyingi zinazopelekea mpaka mwanamke anatoa mimba. Inawezakana aliye nae ana maisha ya kuunga unga, akija tajiwa mimba lazima pachimbike. Inawezakana aliye nae yupo nae kwa ajili ya pesa zake na siyo upendo wala kuzaa nae. Inawezekana aliye nae hajawahi kuonesha utayari wowote we je nikishika ujauzito itakuwaje, yani mwanamke anakuwa ashayajua majibu kwamba akinasa nini cha kufanya. Wengine wanazikana mimba, mwanamke anaona isiwe tabu anatoa. Ingawa utaoji mimba una madhara makubwa sana, na haipendezi kabisa.