Mwanamke huyu anadaiwa kuwa nyuma ya mafanikio ya Dokta Cheni

Wewe hayo yako.

Kutengenezea watu passport ndiyo utapeli?

Uzi wote huu nimeusomq sijaona kesi yake hata moja ya u5apeli.

Kesi iliyowekqa post namba moja ni poroj9 nyingi ukifungua attachment unakutana na nyaraka za kesi ya urithi wa nyumba, na hukumu iliyotolewa hapo haina kifungo wala utapeli.

Kufanya utafiti Ε΅angu binafsi, kwa kuwapigia watu wawili tofauti wanaomfahamu vyema, nikakuta kweli alifungwa lakini kesi yake ikafutwa kwa rufaa na akaachiwa huru, hiyo maana yake majaji wa rufaa waliona alionewa.

Mnyonge mnyongeni lakini haki yake mpeni.
 
Sasa huo ndiyo utapeli? Kumtengenezea mtu passport ndiyo utapeli? Hata babake mdogo Zungu naibu spika, Mzee Hussein Azan ilikuwa ndiyo kazi yake.

Hivi mnaufahamu utapeli au mnausikia tu?

Kishwachiwa jela, kashinda rufaa,
Matukio yake ya utapeli yamesemwa sana huko juu hujayaona? Hukumu yake hujaisoma?

Najua alishatoka na hata alipokua mahabusu Segerea nimeenda zaidi ya mara 3 kumuona (nina ukaribu na watoto zake wale wadogo sio Mariam)
 
Jamaa nliambiwa yupo singo ila anawafunua sana pisi kali zinazoenda kukanyaga wese pale uwanjan kuna dada mmoja ni mpangaji mwenzangu kashapiga sana na kamtelekeza mpaka sasa dada hakanyagi viwanja vya kawe
Tunamfaham vizuri sana shida kondoo wake ni wabishi sana mpaka yawakute akili zinarudi
 
Dah this guy namfahamu mama yake aisee sadπŸ₯Ή
 
Wewe jamaa una mastori mengi ya town, napenda sana nyama unazoongezea kwenye nyuzi pendwa za Nifah

Nyie mtu 3 ni tunu hapa jf katika ubuyu wa celebs. Sipati picha mkipiga colabo na cocastic
NGOJA NIONGEZEE NYAMA SASA....
MNAJUA WATU WENGI HAPA TZ WANAISHI KUSINDIKIZA WATU...
MTOTO WA KIGOGO""P"" ALIKUA MWANANGU ENZI HIZO SMARTPHONE NDIO ZINAINGIA MJINI KWA WINGI...
DILI ZETU ZIKAWA KUUZA SIMU ZA MAGUMASHI DOWNTOWN NA TUKIPATA VIJISENTI,,,TUNAJICHANGANYA NA WATOTO WA KISHUA WA UHINDINI KULA BATA....KWENYE HOTEL ZA BABA ZAO
SASA MM NILIKUA MTOTO WA KITAA NA HELA SINA KIVILE MPAKA NIUZE SIMU AU NIPIGE DILI CHAFU NA MWANANGU MODO MKIA AMBAE YUPO JELA THAILAND NOW....
MWANANGUMTOTO WA KIGOGO""P"" YEYE MTOTO WA KISHUA,,,,,,IKITOKEA TUNATAKA KWENDA KUFANYA VURUGU KITAANI NA HATUNA HELA""UTASIKIA NGOJA NIMPIGIE MAMA ATUONGEZEE"""
DAKIKA SIFURI IMEKUJA NDINGA NA ANAPEWA KIFUKO CASH.TATIZO NI KWAMBA MWANANGU ALIKUA MLEVI MBWA NDIO STAREHE YAKE KUBWA KABLA HAJAANZA KUTUMIA PODA.KWAHIYO FUKO LOTE NAKAA NALO NA HAULIZI CHENJI AU MASALIA MM NDIO MUHASIBU AFU YEYE NDIO ANANIONGOZA VIWANJA VYOTE V.I.P
I MEAN WIKI NZIMA TUNAIZUNGUKA TZ VIWANJA VYOTE V.I.P HOT SPOT,S ALMOST MIKOA MINNE YA TZ HUKO HUINGII BILA KUCHOMEKEA AU KUPIGA CASUAL NADHIFU...
KUNA V.I.P CLASSIC UNAINGIA KWA CARD AU MPAKA UONGOZANE NA MEMBER WA ENEO HUSIKA NA ZOTE HIZO ZIPO HAPA HAPA TZ 🀣🀣🀣🀣 TAFUTA HELA UZIJUE MKUU
TUMEPISHANA SANA KWENYE COUNTER NA WASHUA WENYE UKWASI KUTOKA MJENGONI DOM.PIA AKIWEMO KAKA BISHOO MZEE WA SUTI KALI KALI KWA CODE TUNAMUITA MGANGA MIKUFU A.K.A MARIOO MWENYE MIPANGO πŸ€£πŸ€£πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚....JAMAA JAPO MCHICHA MWIBA ILA KAWALA SANA MADOGO WENYE SHOBO ZA HELA...HASA WALE WANAOJIBINUA BINUA INSTAGRAM..
UKITAKA KUFAIDI MAISHA YA ANASA HAPA TZ BASI TAFUTA HELA AU KAA NA WATU WENYE MATUMIZI YA HELA...AU KAA NA MASTAA WA BONGO SEKTA ZOTE WENYE CONNECTION ZA WADAU......UTAONA YOTE NA KAMA WEWE MTU WA TOTOZ,,,BAS UTAKINAI MWENYEWE HAO MNAOWAITA MAVIDEO VIXEN NA WABONGO MOVIE WENYE SHOBO ZA MIKWANJA MBUZI
NB: KUNA NYAKATI MWANANGU NA MIMI TULIKUA TUNATEMBEA NA 17 MILION CASH AFU ANANIAMBIA TUIMALIZE HII NDANI YA WEEK DILI ZITAKUJA ZINGINE NA TUKIKWAMA MAMA YUPO....FULL KUWAWINDA MAVIDEO VIXEN NA MABONGO MOVIE πŸ˜‚πŸ€£πŸ€£πŸ€£DUUH UJANA MAJI YA MOTO
NASIKITIKA MWANAGU BAADAE ALIISHIA KUA TEJA NA OVERDOSE NDIO ILIMUUA.
MOTHER YAKE ALINILAUMU SANA KWANINI SIKUMSHAURI RAFIKI YANGU ASIJIINGIZE KWENYE UTEJA.....
MIMI NILIPOENDA KUONGEZA ELIMU KIDOGO,,BAS MWANANGU AKAPATA MARAFIKI WAPYA WATOTO WA KINONDONI NDIO WALIOMPOTEZA KWENYE UTEJA,,,WAKATI HUO RAFIKI ZAKE HATUNA HABARI NA TULIPOONANA NAE TAYARI ALIKUA AMEBOBEA NA ANATUKWEPA......
ALIJIOVERDOSE NDIO IKAWA HIVYO...R.I.P HOMEBOY TAJIRI MTOTO,,,MZEE WA KUSHOBOKEWA NA MAVIDEO VIXEN KISA UKWASI WA MSHUA.
******Hii story niliyoadithia inanikumbusha brother na homie,s wangu wa mitaa ya mikocheni B tulikua tunakutana kule KINGOKO,,,,,,nae alikua teja ila alikua na love sana na sisi homiez wa kitaani,,,,full kutupa advice za maisha na namna gani tusijiingize katika dili chafu tukaishia jela na namna gani hela inatafutwa kwa kutumia akili na sio nguvu au tamaa....watu flani hv walimgeuza punda na akawa kontena na mwishoe akaishia kua teja..na ndio maana kwenye msiba wake majani aligombana sana na BOSI KUBWA WA KAULI MBIU TUNAKUFUNGULIA DUNIA akimlaumu kua ndio kafanya brother awe teja baada ya kumgeuza punda*******AMANI KWA KAKA VODA MILIONEA MWAMBIE MDOGO WAKO AACHE USHOGA NA UMBEA******R.I.P HOMEBOY LA......,......!!!!!
Story ni nyingi ila mda mchache......!!!
 
Mc pil........analiwa kitambo.....na anahonga...
πŸ€£πŸ€£πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚ mm mwenyewe ningekua mdau wa mambo hayo ningeshamla......
Ana shobo na wanaume warefu πŸ€£πŸ€£πŸ€£πŸ˜‚πŸ˜‚
 
Eeeeeh bwana eeeh!
Hapo kwa mtoto wa Kigogo code imenishinda kabisa, sijui sababu kichwa changu hakiko sawa?
Legeza basi kidogo na wewe...

Halafu huyo boss aliyegombana na Majani ni yule aliyetangulia? Hivi ujue huwa siamini kama nae alikuwa anafanya mishe za poda? Alikuwa smart sana kufanya hayo!
 
Ukiona watu wameongea wala usibishe
 
Mc pil........analiwa kitambo.....na anahonga...
πŸ€£πŸ€£πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚ mm mwenyewe ningekua mdau wa mambo hayo ningeshamla......
Ana shobo na wanaume warefu πŸ€£πŸ€£πŸ€£πŸ˜‚πŸ˜‚
Hivi wewe? Wooote umesema vipi yule bwana mitindo mwenye jishangazi la bongo movie?
Nae huwa nasikia sana ana hayo mambo, hadi Mange huwa anasema mara nyingi.
Mi huwa siamini, sema chochote.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…