Mwanamke huyu mtamuuu!

Vijana wa form four ndio wanaovamia nyuzi kama hizi nankuamini kila kitu..
 
Hadithi yako ina gaps, hata kuunganisha dots nimeshindwa, nadhani hukujipanga vizuri kui-narrate. Which type of Honda? CBR?
 
mmeamua kujipigia promo! nitatafuta na mimi mzee mmoja nionje
 
Kumbe na wewe umekula hiyo maza..iko vzr kinyama..nitumie namba yake sema nilipotezaga mawasiliano yake.
 
Na hautakaa usahau jinsi ulivyo dondosha laki pale ulipomfikia yeye tu!!!!
 

 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…