Surya
JF-Expert Member
- Jun 7, 2015
- 8,774
- 13,566
Sijui kwa wanaume wengine wanavutiwa na nini hasa kwa mwanamke wakati wa mahaba na penzi zito
Utamu/raha ya mapenz ni hisia. Ukizikosa hisia mapenz yanakua kama uchafu kwako.
Binadamu tunatofautiana hisia nadhani, wengine ni kali sana wengine ni kiduchu. Mwanaume ukikutana na pisi umeichakata cha kwanza then akakwambia kachoka apumzike basi muache tu apumzike ndio hivo tena mbususu imekauka kau. 😂😅
Mwanaume na Mwanamke mnaweza kutongozana vizuri kabisa na kupeana ahadi ya match au kandanda safi, League hadi fainali mcheze mpira mwingi sana. Sasa mwanamke anatakiwa kuwa na sifa moja tu wakati wa match, anatakiwa kuvaa tabia za kahaba wakati wa match. Huu mchezo binfsi usiniulize nilijifunza wap lakini ninachojua kwenda na hatua kuna raha sana.
Mpo wawili kwa bed, hisia za macho kwanza zinaanza, unakutana na mtoto anakuangalia usoni unajionea anavyo jiamini. Unajisemea tu moyoni leoooo lazima tuombane poo then, maneno matamu kidogo, hisia zenu ziwe pamoja vizuri.
Kiss kiss, then mipapaso inaanza, kila mmoja anamshika mwenzie kunako mafichoni. touch it, touch it.... 😍
Kiss it, kiss it 😅 then mkuyenge ukiingia maeneo uzi huu utaendelea mwisho wa kilele au tamati.
Tuyaache hayo jamani nyege za mchana kabla ya kupata lunch sio nzuri. Hizo sifa mbili, ujasiri na utulivu nimekutananazo sehemu.
Kuna Manzi huwa namuona tu, pisi kweli imenyooka lakini sikuwahi kuongea nae, sasa leo nilikua nafika dukani nikakutana nae yeye ndio anatoka mimi ndio nafika kwa mangi.
Kwanza hakua kaniona ila yeye alikua kabeba mtoto, mtoto ndio alianza kuniona. Nilichofanya nilikashtua katoto kisha huyo binti akageuka na kusema kwa Lugha ya upole sana.. wewe anko mchokozi mwambie.
Hapo anamwambia mtoto sasa aniambie mimi kwamba mchozi.
Anaongea hivo huku anaondoka hivo. Basi mimi niliendelea na harakati zangu sikuzungumza kitu zaidi ya kumuangalia huyo binti mala mbili mbili tu na kula kwa macho.
Sasa wakuu nina jambo langu, nitawaletea mlejesho. Kibunda kipo, sifa ninazo. Believe me, am gonna make it 😍😍😍