tujadili ukombozi tukiwa na njaa??... kipindi hiki kila kona ya nchi watu wanajadili ukombozi; mnapata wapi guts za ku-post vitu kama hivi?
Asante sana............you done...The secret ingredient to any meal is Love.
Even the humblest meal is delicious if prepared by a woman who loves you.
so kodi ya mezani iwe sh.ngapi?Muwe mnaacha na hela ya kutosha na pia Kama unaona hawezi mwambie ukweli kua hajui kupika ili ajiongeze kwa kwenda shule au ajifunze kwenye mitandao.
Unakula na kugugumia moyoni bila kumwambia atajuaje sasa?
27 yrs hajui kupika? hata mimi namzidi huyo special case[emoji3][emoji3][emoji3]Kweli kabisa hakuna raha kama unapika chakula mtu anakula na anakisifia yaan huwa nafurahi sana na kunipa nguvu ya kupika na kujifunza aina tofauti ya vyakula, Yaan mimi jikoni huwa sitaki aingie mtu mwingne yan kila mda nataka nipike mimi tu..
Sema kupika ni kama kipaji na ukipenda na kukifurahia unachokifanya bas hakuna chakula kitakachokushinda kupika.. Mimi nina dada angu mkubwa tumelelewa pamoja ila ikija kwenye suala la kupika utadhan tumelelewa tofauti maana hajawah kujua kupika kabisa na saiz ana miaka km 27 lakin hajui kusonga hata ugali wa watu wawili.
Mambo mrembo..?πNapenda sana mwanaume anaye-appreciate chakula.
Chakula ni kama tendo la ndoa na vinaendana. Jinsi unavyosifia mapishi ya mkeo unampa moyo kesho na wiki ijayo anaongeza maufundi jikono.
Unapomsifia mumeo kwa mauno na mikito anayokupa kitandani wallahi usipoweka kikinga mimba utakuwa unazaa kama wapemba. Maana mwanaume atahamasika kila mara na wasaa aupatao akupe mtungo wa maana.
Kama ilivyo chakula kina mapishi tofauti tofauti na kadha kadha wa kadha kadri mpishi atavyotaka pishi lake liwe ndivyo na tendonla ndoa, lina style kadha wa kadha kadri watumiaji walivyo na utayari wa kugeuka mkao wowote na kuongezeana hamasa ya kula bila kukifu wala kuvimbewa.
Vyote chakula na tendo la ndoa hunogeshwa na chachandu..... πππ
Hakuna asiyependa kusifiwa, sifa mubashara pale mlaji unapopata ladha murua na pale unapoona kasoro mrekebishe mpishi kosa dogo dogo kesho aboreshe zaidi na si kumdhihaki au kumkebehi, haifai.
Kasinde mie napenda kula msosi mtamu (nauandaa kiufasaha) na napenda Mahaba Matata.
Kβ Matata.