Umesharogwa wewe!🤣🤣🤣Hili ndilo lilinifanya kuowa mwanamke wa kidigo,uwezi amini kazini sili hata siku moja na washa ndinga nakula narudi Hadi jamaa zangu wananishanga nami nawambia kuna vitu flaniflani napata Ni ngumu kuviweka kwenye mandishi
chakula kitamu sio lazima kuwe na hela ya kutosha hata uji tuMuwe mnaacha na hela ya kutosha na pia Kama unaona hawezi mwambie ukweli kua hajui kupika ili ajiongeze kwa kwenda shule au ajifunze kwenye mitandao.
Unakula na kugugumia moyoni bila kumwambia atajuaje sasa?
Hahaha nimecheka kweli[emoji23][emoji23]... kipindi hiki kila kona ya nchi watu wanajadili ukombozi; mnapata wapi guts za ku-post vitu kama hivi?
Mzee Rungwe anawapikia ubwabwa na vyuku hamtaki kwenda kula[emoji23][emoji23]tujadili ukombozi tukiwa na njaa??
Ukombozi tulishaupata tangu 1961 tisa december,sasa huo ukombozi... kipindi hiki kila kona ya nchi watu wanajadili ukombozi; mnapata wapi guts za ku-post vitu kama hivi?
Dah kwa mujibu wa mtoa mada she can't make a good wife. Muokoe dada ako katika swala hili, atakuja kukushukuru baadaeKweli kabisa hakuna raha kama unapika chakula mtu anakula na anakisifia yaan huwa nafurahi sana na kunipa nguvu ya kupika na kujifunza aina tofauti ya vyakula, Yaan mimi jikoni huwa sitaki aingie mtu mwingne yan kila mda nataka nipike mimi tu..
Sema kupika ni kama kipaji na ukipenda na kukifurahia unachokifanya bas hakuna chakula kitakachokushinda kupika.. Mimi nina dada angu mkubwa tumelelewa pamoja ila ikija kwenye suala la kupika utadhan tumelelewa tofauti maana hajawah kujua kupika kabisa na saiz ana miaka km 27 lakin hajui kusonga hata ugali wa watu wawili.
Waooo umemaliza kila kitu mrembo. The food that prepared by love satisfies allThe secret ingredient to any meal is Love.
Even the humblest meal is delicious if prepared by a woman who loves you.
Ni kweli kabisa dadaaThe secret ingredient to any meal is Love.
Even the humblest meal is delicious if prepared by a woman who loves you.
sio kwamba wanaotulisha vibovu hawana upendo na sisi etiiiiiii...The secret ingredient to any meal is Love.
Even the humblest meal is delicious if prepared by a woman who loves you.
Wanajidai eti wanaunga mkono juhudi,Mzee Rungwe anawapikia ubwabwa na vyuku hamtaki kwenda kula[emoji23][emoji23]
Wanajidai eti wanaunga mkono juhudi,
Watu wanataa mabadiriko sasa. Siasa za kuunga juhudi hazitupeleki popoteWanajidai eti wanaunga mkono juhudi,
Siku watakuja kujielewa watakuwa wameshachelewa.!Watu wanataa mabadiriko sasa. Siasa za kuunga juhudi hazitupeleki popote
Weee[emoji6]Nalo neno ingawa sipendi kupika[emoji23]
Vp kuhusu dada yako ameolewa au bado? Sishangai kuona dada yako hajui kupika wapo wengi sana wanawake tena wengi wao wana digrii na wengine wana mastazi lkn kupika chengaKweli kabisa hakuna raha kama unapika chakula mtu anakula na anakisifia yaan huwa nafurahi sana na kunipa nguvu ya kupika na kujifunza aina tofauti ya vyakula, Yaan mimi jikoni huwa sitaki aingie mtu mwingne yan kila mda nataka nipike mimi tu..
Sema kupika ni kama kipaji na ukipenda na kukifurahia unachokifanya bas hakuna chakula kitakachokushinda kupika.. Mimi nina dada angu mkubwa tumelelewa pamoja ila ikija kwenye suala la kupika utadhan tumelelewa tofauti maana hajawah kujua kupika kabisa na saiz ana miaka km 27 lakin hajui kusonga hata ugali wa watu wawili.
Bado hajaolewa.. sema anapenda maisha ya kizungu kizungu yaan yeye majukumu ya nyumbani huwa hafanyi kabisa..Vp kuhusu dada yako ameolewa au bado? Sishangai kuona dada yako hajui kupika wapo wengi sana wanawake tena wengi wao wana digrii na wengine wana mastazi lkn kupika chenga
Sent from my Infinix X657 using JamiiForums mobile app