Mwanamke jiko bana, kwingine tutaelekezana tu

πŸ˜‚πŸ˜‚ Kaoga kweli wapambe namaanisha zile popo mbili zinazoning'inia!.. haya rudisha Hilo busati turuke mama..

Unatingisha kibiriti eeehhh...
 
Mzee baba tuna ugonjwa unaofanana kumbe. Mie mwanamke anayepika vyakula vitamu huwa nampenda kupita maelezo. Yani kimsingi nainjoy sana kugonga menyu za viwango halafu itokee nimpendaye ndio fundi dah πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚

Namuoneaga wivu sana shemeji yangu mmoja maana sista angu kwa jikoni ni mwisho wa matatizo. Anajua kujiongeza kupika mavitu OG sana na ya kibunifu. Mamisosi ya kizungu ndio dah. Ila jamaa eti sometimes halagi home anakula anakozururia huko sista anamaindigi kichizi ila hamna namna.

Yani mie ndo ingekuwa jamaa kila siku lazma niripoti mess mapema tu. Penye miti hapana wajenzi
 
Umenielewa?
 
Ukiona mkeo hana hamshahamsha za mapishi ujue rafiki yangu huna jipya
Ila ukipata mume anaependa kula raha sana, yaan muda wote unawashwa kupikapika tuu
Tena usiombee akamwambie baby nina hamu ya chakula flan
Tukiwa tuna kula kula ndio mwanzo wa vitambi, wengine miili yetu ina shukrani asee.
 
Tukiwa tuna kula kula ndio mwanzo wa vitambi, wengine miili yetu ina shukrani asee.
Mie pia nina asili ya mwili na nipo counsious sana na kuongezeka uzito lakn napenda mtu mwenye apetite
Yaan kula tunakula ila mazoezi muhimu
 
Mie pia nina asili ya mwili na nipo counsious sana na kuongezeka uzito lakn napenda mtu mwenye apetite
Yaan kula tunakula ila mazoezi muhimu
Hapo kwenye zoezi ndio changamoto, mie nikila nyama mfululizo kitumbo hicho kinakuja, mashati yana bana...sasa nikioa sijuhi itakuaje najiuliza.
Wanawake mlivyo na wivu, nisipokula sana msosi wako, utanuna.
 
Changamoto kivipi? Huwezi ama huna muda
Nyama mfulilizo kwa muda gani? Vifungo hazifungi
Mie kununa siwezi ila ndio nitauliza maswali mpk nijue why hujala
 
Changamoto kivipi? Huwezi ama huna muda
Nyama mfulilizo kwa muda gani? Vifungo hazifungi
Mie kununa siwezi ila ndio nitauliza maswali mpk nijue why hujala
Kitambi zoezi la kutoa kitambi ni changamoto kwangu, mie hata nilila supu ya mbuzi kwa wiki moja tuu.
Tumbo lina futuka...na nina nawiri, sasa mashati yetu haya vijana ninakua kama panya mwenye mimba!!
So napenda vyakula vitamu ila sintokula vya kushiba au kuridhika, nitakua nakula kidogo...unless mke wangu ajue mechanism ya kuzia nisinenepe.
 
Mshkaji wangu mmoja kwake kulikua na House girl anapika msosi mtamu kuliko mama mjengo, asee ilikua full kumsifia hadi ukila unaongeza msosi...yule hakuchukua round shemeji alimfukuza.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…