Mwanamke Jipende Natural Achia Misitu

Mzigua90

JF-Expert Member
Joined
Sep 23, 2014
Posts
38,342
Reaction score
88,625
Unakuta mwanamke yuko on her 20's ila anavaa kama mwanamke wa 60's. Jijali, jiweke smart. Sio lazima utumie vitu vya gharama uonekane mzuri. Tumia resources ulizonazo kujiweka vizuri. Achana na kina sisi wavaa weaves/wigs kuna nyie wenye mnakata nywele. Kata nywele zako vizuri vaa nguo nzuri sio unakata nywele na unavaa masketi marefu hayaeleweki hata mke wa mchungaji anakuzidi kupendeza. And hivi vipodozi kama lipstick wanja mascara vipo kwa ajili yetu tuvitumie. Hamna mwanamke mbaya kama atajijali kwenye muonekano wake. Pendezeni jamani. Kuna wake za watu wakishaolewa tu wanajizeesha kwa kujiweka rough kama vibibi vya miaka 70. Jiweke mpya kwa mumeo kila siku. Kama alikupenda kwa kukuona umevaa Brazilian hair kwanini uache kuvaa ukiwa wife? Unapenda vitenge shona basi mshono ueleweke. Sio unashona hips 40 wakati unavaa 34 ukivaa unaonekana kama mfuko wa mashineni.
P.S. wanaume wapendezesheni/waacheni wake zenu wapendeze. Sio ukiomuoa unaanza masharti hutaki lipstick hutaki weaves wakati ulivyomfuata alikua anavifanya. Mnakataa kwa wake zenu ila michepuko mnawanunulia hata nywele ya 400k.
 
Kuna watu wanapenda kupeperusha njiwa wangu[emoji4] [emoji4]
Cristian bella


Pambeeeeee[emoji108] [emoji108] [emoji108] [emoji108] [emoji108] [emoji108] [emoji108] [emoji108]

B lack black bla blaa
Yoo kizy
Nanyosha mikono yangu juu naomba unisamehe
Nishushie presha yangu juu amani iendelee
Tofauti kati yetu mi na wewe ndo tuzitatue
Tukisumbuana tutawapa nafasi wapumue
Wabaki wakibabanganya wakiropoka sisi tuchape rapa
Unitunze mama makopa kopa tuwatoe kapa
Tusiachane bali baby tushikane me na we ulimboo
Hili basi dereva wewe me no utingoo
Pambe(paaa)
Pambena(mh pambena yee)
Pambe(paaaaa)
Pambena(mh pambena ooh)
Pambe(mmmmmh)
Pambena(mh pambena yee)
Pambe(aaaaah)
Pambena(mh pambena wooh)
Aaaaaah
Tujizatitii
Tusiwape kiki
Watumie nyota zetu kutembelea
Usiwape lift hata wakishinda kukugongea
Wapige kelele ah siwasikii
Lopolopo liloo
Midomo yao kama honi wakiongea wanapulizaa
Wabaki wakibabanganya wakiropoka sisi tuchape rapa
Unitunze mama makopa kopa tuwatoe kapa
Tusiachane bali baby tushikane me na we ulimboo
Hili basi dereva wewe me ndo utingoo
“Pambena(mh pambena yee)— Christian Bella
Pambe(paaa)
Pambena(mh pambena yee)
Pambe(paaaaa)
Pambena(mh pambena ooh)
Pambe(mmmmmh)
Pambena(mh pambena yee)
Pambe(aaaaah)
Pambena(mh pambena wooh)
Woooo wouwo ooh
Yeeiyei yeeiye yeiyehhh
Pambena oh pambe pambe
Pambena oh pambe pambe
Pambenaaaaah oh pambe pambe
Pambenaaaaa
Pambenaaaaa
Pambenaaaaa
Pambe(paaa)
Pambena(mh pambena yee)
Pambe(paaaaa)
Pambena(mh pambena ooh)
Pambe(mmmmmh)
Pambena(mh pambena yee)
Pambe(aaaaah)
Pambena(mh pambena wooh)
 
Sasa huu wimbo ni wa kitunguli..[emoji15] [emoji15] [emoji15] [emoji15]
 
Najiona mm hapo nilikutwa mtu wa kuvaa nguo fupi na nimependwa hivyo hivyo na nguo zangu fupi na nipo zangu tu na vimini vyangu nawaza tu ndio ningekatazwa nipo zangu na madera na 3 kichwa zangu ila pia sio mbaya yote maisha tu mablazillian ningekuwa nayaona kwenye picha tu

Acha nirudi kulala
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…