Mwanamke Jipende Natural Achia Misitu

Nakuunga mkono kwa hilo baadhi ya wanaume ni wanafiki wa hali ya juu. Atamkataza mke au GF usivae hivi nywele zako fanya hivi blah blah blah halafu pembeni yale yale ambayo hayataki mke/GF ayafanye anayahusudu sana.
Na woga nahisi. Anaogopa mwanamke akipendeza ataibiwa. Halafu mwanamke akijibadilisha anaanza kumuona mzee anatafuta anaependeza tena huko nje
 
Kumkuta mtu na tabia ambayo haikupendezi sio kigezo cha kutokumbadili eti kisa ulimkuta hivyo.
Akipendeza we unakereka nini? Kwa mfano umemkuta anasuka rasta zake safi unaanza kumwambia unataka anyoe kipara. Kwani kuwa smart ni tabia ambayo inaweza ikakukera kaka?
 
Mke wangu nampenda lakini michepuko yangu pia naipenda. Ni sawa na kuwa namiliki gari lakini kupanda public transport pia napenda[emoji13] [emoji13] [emoji13][emoji38] [emoji38] [emoji38] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji377] [emoji377] [emoji377] [emoji124] [emoji125] [emoji125]
 
Muone vile
 
Muone vile
[emoji13] [emoji13] [emoji38] [emoji38] [emoji23] [emoji23] Mke wangu mtamu but michepuko pia mitam. Kwani we unafikiri hela ya kuhongwa na mshahara vina tofauti kwenye utam?[emoji13] [emoji13] [emoji13] [emoji38] [emoji38] [emoji38] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji377] [emoji377] [emoji377] [emoji124] [emoji125] [emoji125]
 
Vina tofauti. Ya kuhongwa tamu zaidi
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…