Davet
JF-Expert Member
- Apr 5, 2013
- 42,445
- 205,933
I see you mzee babaKumkuta mtu na tabia ambayo haikupendezi sio kigezo cha kutokumbadili eti kisa ulimkuta hivyo.
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
I see you mzee babaKumkuta mtu na tabia ambayo haikupendezi sio kigezo cha kutokumbadili eti kisa ulimkuta hivyo.
Na woga nahisi. Anaogopa mwanamke akipendeza ataibiwa. Halafu mwanamke akijibadilisha anaanza kumuona mzee anatafuta anaependeza tena huko njeNakuunga mkono kwa hilo baadhi ya wanaume ni wanafiki wa hali ya juu. Atamkataza mke au GF usivae hivi nywele zako fanya hivi blah blah blah halafu pembeni yale yale ambayo hayataki mke/GF ayafanye anayahusudu sana.
Akipendeza we unakereka nini? Kwa mfano umemkuta anasuka rasta zake safi unaanza kumwambia unataka anyoe kipara. Kwani kuwa smart ni tabia ambayo inaweza ikakukera kaka?Kumkuta mtu na tabia ambayo haikupendezi sio kigezo cha kutokumbadili eti kisa ulimkuta hivyo.
Pamoja sana mtu wangu wa nguvuNakusalimia pia shem
Hahah!Akili zilizochanganyika na vile vyenye asilimia
Si ni weweMbona unaogopa kumtag. Au ndo wako wengi ujumbe uwafikie?
Nitakujibu usijaliNdo nn?
Muone vileMke wangu nampenda lakini michepuko yangu pia naipenda. Ni sawa na kuwa namiliki gari lakini kupanda public transport pia napenda[emoji13] [emoji13] [emoji13][emoji38] [emoji38] [emoji38] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji377] [emoji377] [emoji377] [emoji124] [emoji125] [emoji125]
[emoji13] [emoji13] [emoji38] [emoji38] [emoji23] [emoji23] Mke wangu mtamu but michepuko pia mitam. Kwani we unafikiri hela ya kuhongwa na mshahara vina tofauti kwenye utam?[emoji13] [emoji13] [emoji13] [emoji38] [emoji38] [emoji38] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji377] [emoji377] [emoji377] [emoji124] [emoji125] [emoji125]Muone vile
Vina tofauti. Ya kuhongwa tamu zaidi[emoji13] [emoji13] [emoji38] [emoji38] [emoji23] [emoji23] Mke wangu mtamu but michepuko pia mitam. Kwani we unafikiri hela ya kuhongwa na mshahara vina tofauti kwenye utam?[emoji13] [emoji13] [emoji13] [emoji38] [emoji38] [emoji38] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji377] [emoji377] [emoji377] [emoji124] [emoji125] [emoji125]