Mwanamke Jipende Natural Achia Misitu

Mnapenda kusumbuka
Hyo ni lazima tusumbuke tupende au tusipende yani..afu ukija kumpata akazaa katoto kanaanza nani kama mamaa asee kangejua haso tulizo pita had kumpat uyo mama akee. Wangeimbaga tu nani kama babaa
 
Mwanaume akupende kisa brazillian hair labda mwanaume wa dar huyo mwanaume akili zake hazichaji vizuri,
 
Hyo ni lazima tusumbuke tupende au tusipende yani..afu ukija kumpata akazaa katoto kanaanza nani kama mamaa asee kangejua haso tulizo pita had kumpat uyo mama akee. Wangeimbaga tu nani kama babaa
Hahaahahahaa
 
Favourite song,the best song ever
 
Wanaume bana,yupo dada mmoja alipendaga kuvaa suruali,vimini,wigs na makorokoro mengine,bwana akampenda akamuoa,ile kuingia tu ndani akaambiwa mama hapa vimini marufuku,hapa ni nguo ndefu na kukata nywele tu.....dada akabisha bisha weee mume akamwambia chagua moja,ndoa au hizo nguo zako.Ikabid dada achague ndoa,saivi unaweza kusema anakimbilia 40s,kumbe yuko btn 25_28
 
Mwanaume akupende kisa brazillian hair labda mwanaume wa dar huyo mwanaume akili zake hazichaji vizuri,
Kwani mwanamke unavyomuona siku ya kwanza unavutiwa na nini kwake? Usiseme akili maana hata hajazungumza huwez jua akili yake ikoje
 
Hapo kwenye kukata nywele,ina maana tusivae sketi ndefu ama?[emoji23]
Haki kitu cha ajabu kama mtu akate nywele awe mfupi halafu avae liskirt refu ilimradi tuu. Fashion ya skirt ndefu ni kwa kujifunga kichwani. Kagugo wanawake wanaovaa long skirt halafu wanajifunga kiislam kichwani wanavyopendeza. Lakini mtu mwenye short hair akivaa trouser anapendeza sana
 
Sasa ndo nalosema hilo. Halafu akikaa na wenzie anasema mke wangu yuko kama mzee hajipendi
 
Ila la kanisani muhimu sana aisee usitoke kwani kuna ulazima wa kutoka achana navyo tu asivyopenda mbona vya kawaida hivyo mtu ana future na wewe

Hivi unamjua vizuri Mzigua90! Huyu akizuiliwa kutoka atajiua.

Nasubiri tu siku apitishe tamko kwamba hataki kutoka, nianze kumtajia niko 777, mara Tips, Bucket, utashangaa tu anasema kama ndoa ife.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…