Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Hyo ni lazima tusumbuke tupende au tusipende yani..afu ukija kumpata akazaa katoto kanaanza nani kama mamaa asee kangejua haso tulizo pita had kumpat uyo mama akee. Wangeimbaga tu nani kama babaaMnapenda kusumbuka
[emoji2] [emoji2] [emoji23] [emoji23]Hahaahahahaa
Pasibaki kipara[emoji23]Mimi afanye usafi wooote lakini pale kati asitoe zote yani hivyo tu
Favourite song,the best song everCristian bella
Pambeeeeee[emoji108] [emoji108] [emoji108] [emoji108] [emoji108] [emoji108] [emoji108] [emoji108]
B lack black bla blaa
Yoo kizy
Nanyosha mikono yangu juu naomba unisamehe
Nishushie presha yangu juu amani iendelee
Tofauti kati yetu mi na wewe ndo tuzitatue
Tukisumbuana tutawapa nafasi wapumue
Wabaki wakibabanganya wakiropoka sisi tuchape rapa
Unitunze mama makopa kopa tuwatoe kapa
Tusiachane bali baby tushikane me na we ulimboo
Hili basi dereva wewe me no utingoo
Pambe(paaa)
Pambena(mh pambena yee)
Pambe(paaaaa)
Pambena(mh pambena ooh)
Pambe(mmmmmh)
Pambena(mh pambena yee)
Pambe(aaaaah)
Pambena(mh pambena wooh)
Aaaaaah
Tujizatitii
Tusiwape kiki
Watumie nyota zetu kutembelea
Usiwape lift hata wakishinda kukugongea
Wapige kelele ah siwasikii
Lopolopo liloo
Midomo yao kama honi wakiongea wanapulizaa
Wabaki wakibabanganya wakiropoka sisi tuchape rapa
Unitunze mama makopa kopa tuwatoe kapa
Tusiachane bali baby tushikane me na we ulimboo
Hili basi dereva wewe me ndo utingoo
“Pambena(mh pambena yee)— Christian Bella
Pambe(paaa)
Pambena(mh pambena yee)
Pambe(paaaaa)
Pambena(mh pambena ooh)
Pambe(mmmmmh)
Pambena(mh pambena yee)
Pambe(aaaaah)
Pambena(mh pambena wooh)
Woooo wouwo ooh
Yeeiyei yeeiye yeiyehhh
Pambena oh pambe pambe
Pambena oh pambe pambe
Pambenaaaaah oh pambe pambe
Pambenaaaaa
Pambenaaaaa
Pambenaaaaa
Pambe(paaa)
Pambena(mh pambena yee)
Pambe(paaaaa)
Pambena(mh pambena ooh)
Pambe(mmmmmh)
Pambena(mh pambena yee)
Pambe(aaaaah)
Pambena(mh pambena wooh)
Wanaume bana,yupo dada mmoja alipendaga kuvaa suruali,vimini,wigs na makorokoro mengine,bwana akampenda akamuoa,ile kuingia tu ndani akaambiwa mama hapa vimini marufuku,hapa ni nguo ndefu na kukata nywele tu.....dada akabisha bisha weee mume akamwambia chagua moja,ndoa au hizo nguo zako.Ikabid dada achague ndoa,saivi unaweza kusema anakimbilia 40s,kumbe yuko btn 25_28Najiona mm hapo nilikutwa mtu wa kuvaa nguo fupi na nimependwa hivyo hivyo na nguo zangu fupi na nipo zangu tu na vimini vyangu nawaza tu ndio ningekatazwa nipo zangu na madera na 3 kichwa zangu ila pia sio mbaya yote maisha tu mablazillian ningekuwa nayaona kwenye picha tu
Acha nirudi kulala
Atakaekuja kujibu comment yake ndo my wakeAtaje apoteze wachuchu wengine
Kwani mwanamke unavyomuona siku ya kwanza unavutiwa na nini kwake? Usiseme akili maana hata hajazungumza huwez jua akili yake ikojeMwanaume akupende kisa brazillian hair labda mwanaume wa dar huyo mwanaume akili zake hazichaji vizuri,
Haki kitu cha ajabu kama mtu akate nywele awe mfupi halafu avae liskirt refu ilimradi tuu. Fashion ya skirt ndefu ni kwa kujifunga kichwani. Kagugo wanawake wanaovaa long skirt halafu wanajifunga kiislam kichwani wanavyopendeza. Lakini mtu mwenye short hair akivaa trouser anapendeza sanaHapo kwenye kukata nywele,ina maana tusivae sketi ndefu ama?[emoji23]
Sasa ndo nalosema hilo. Halafu akikaa na wenzie anasema mke wangu yuko kama mzee hajipendiWanaume bana,yupo dada mmoja alipendaga kuvaa suruali,vimini,wigs na makorokoro mengine,bwana akampenda akamuoa,ile kuingia tu ndani akaambiwa mama hapa vimini marufuku,hapa ni nguo ndefu na kukata nywele tu.....dada akabisha bisha weee mume akamwambia chagua moja,ndoa au hizo nguo zako.Ikabid dada achague ndoa,saivi unaweza kusema anakimbilia 40s,kumbe yuko btn 25_28
Ila la kanisani muhimu sana aisee usitoke kwani kuna ulazima wa kutoka achana navyo tu asivyopenda mbona vya kawaida hivyo mtu ana future na wewe