Mwanamke Jipende Natural Achia Misitu

Napenda mpenzi wangu avae apendeze.sipendelei too much make up. Mafuta mdomo wake ukang'aa inatosha
Sio too much. Hata asipopaka kitu usoni basi mavazi yampendeze. Mi mwenyewe sio mtu wa make up kiviile. Napakaga lipstick na powder tu mara nyingi. Ila sijui kujipamba mpaka kubadilika hapana
 
Umeona eeh! Bila msitu ni shida tupu maana mvua hakuna hata ukitaka kupiga jembe ardhi ni ngumu utadhani ina mawe kumbe ni udongo mtupu ila umengangamara kwa kukosa mvua hahahahahahah
Pia misitu inazuia upepo mkali kama Tufani, Kimbunga ili isiweze kuzoa mapaa ya nyumba
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…