Mwanamke Jipende Natural Achia Misitu

Kumbe eh? Mie huwa natoa za uso tena kavu kavu na hii hii tu huo muda wa kuanza kucheza na ID nyingine sinao. Halafu mwandiko wa BAK ulivyo mbaya ni rahisi tu kuugundua kwenye ID mpya.

Id mpya lazima zimuhusu. Siku hizi mtu akikuogopa kukupa makavu anatafuta id mpya anaijaza ujinga wake anaruka nayo hewani
 
Mkuu unapenda sketi ndefu? Mie niwe mkweli tu sketi ndefu sizipendi hata kidogo zile ni za kuvaliwa na Mabibi zetu aka Nyanya.
Ata sizipendi sema tu uzi ulimdiss mwanamke anaevaa hivyo ndio maana nilitaka picha yake...

Yale madini umeshisha kule maeneo yetu ile ndio mikato yenyewe sasa mkuu...
 
Kabisa Mkuu na ndiyo sababu Muumba wetu akatuletea misitu duniani. Sasa wengine wanajifanya wajuaje sana wanaharibu misitu yote hawajui kama ina umuhimu mkubwa sana katika kuleta mvua, na ile harufu nzuri hasa mvua inaponyesha ambayo huvutia sana na pia kulinda dunia yetu na magharika mbali mbali ikiwemo mmomonyoko wa ardhi LOL!

Pia misitu inazuia upepo mkali kama Tufani, Kimbunga ili isiweze kuzoa mapaa ya nyumba
 
Hivi umenielewa kweli ni kwamba alivyonikuta na mavazi yangu na yeye pia anayapenda wala hajanikataza nawaza tu ningekatazwa ingekuwaje

Kile kitopu cha maua maua kinakupendeza.....na ile tight ya bluu
 
Unaona eeh! Sasa mtu kaumbwa akaumbika ana guu la haja anaenda kulificha kwenye sketi ndefu!

Ata sizipendi sema tu uzi ulimdiss mwanamke anaevaa hivyo ndio maana nilitaka picha yake...

Yale madini umeshisha kule maeneo yetu ile ndio mikato yenyewe sasa mkuu...
 
Sasa mkuu mbona hujui kupindisha ukiwa unaangalizia jibu, Mwalimu hatashtuka na kujua kuwa uliibia/ulinakili[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji125] [emoji125] [emoji125]
 
Nakuunga mkono kwa hilo baadhi ya wanaume ni wanafiki wa hali ya juu. Atamkataza mke au GF usivae hivi nywele zako fanya hivi blah blah blah halafu pembeni yale yale ambayo hayataki mke/GF ayafanye anayahusudu sana.

Ndugu anakukataza unafki tu na wivu. We ukivaa dera anakuja kwa kina sie wavaa shorts. Haki mi mume akataze vyote ila sio kuvaa na nywele
 
Kwenye mtihani wakati mwingine majibu hufanana Mkuu na haina maana mmoja kanakili majibu ya mwenzie πŸ™‚πŸ™‚

Sasa mkuu mbona hujui kupindisha ukiwa unaangalizia jibu, Mwalimu hatashtuka na kujua kuwa uliibia/ulinakili[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji125] [emoji125] [emoji125]
 
Kwenye mtihani wakati mwingine majibu hufanana Mkuu na haina maana mmoja kanakili majibu ya mwenzie πŸ™‚πŸ™‚
Hahahaahaaaa
Nimekupata mkuu.

Hapa kauli mbiu yetu ni ''usikate miti ovyo, imarisha upogoaji"
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…