Unanitangazaa?!Vingi tu wakunyumba. Mara nisitoke mara marafiki zangu wa mjini mara niende kanisani yani tafraniii.
Afadhali unisaidie maaanake nikimwambia ananiona mkoloniIla la kanisani muhimu sana aisee usitoke kwani kuna ulazima wa kutoka achana navyo tu asivyopenda mbona vya kawaida hivyo mtu ana future na wewe
Unanitangazaa?!
Naona kajiongeza. [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]. Na mchaga jina linaanza na R
Mkuu ni wapenzi wangu wa dhati ambao sijawahalalisha/ wasiojulikana na hadhara.Masuria ni nini mkuu?
Kuna style ya skirt ndefu wanavaaga wadada wa kiislam na body suit flani hivii na mitandio kwa juu. Wanapeendezaga mnoo. Sio mtu anajivalia jiskirt tu halieleweki hata hapendeziMkuu unapenda sketi ndefu? Mie niwe mkweli tu sketi ndefu sizipendi hata kidogo zile ni za kuvaliwa na Mabibi zetu aka Nyanya.
Nakusalimia[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]. Basi mwachie mwenye kiatu chake
Sema inataka moyo haki mi ningesahau siku nikajimwaga kwenye Id mpyaKumbe eh? Mie huwa natoa za uso tena kavu kavu na hii hii tu huo muda wa kuanza kucheza na ID nyingine sinao. Halafu mwandiko wa BAK ulivyo mbaya ni rahisi tu kuugundua kwenye ID mpya.
Shem sikudis mwanamke anaevaa skirt ndefu. Nilisema skirt ndefu mtu avae apendeze. Angalia wadada wanaovaaga skirt ndefu kama Belina Mgeni wanavyopendezaAta sizipendi sema tu uzi ulimdiss mwanamke anaevaa hivyo ndio maana nilitaka picha yake...
Yale madini umeshisha kule maeneo yetu ile ndio mikato yenyewe sasa mkuu...
[emoji16][emoji16][emoji16]Kabisa Mkuu na ndiyo sababu Muumba wetu akatuletea misitu duniani. Sasa wengine wanajifanya wajuaje sana wanaharibu misitu yote hawajui kama ina umuhimu mkubwa sana katika kuleta mvua, na ile harufu nzuri hasa mvua inaponyesha ambayo huvutia sana na pia kulinda dunia yetu na magharika mbali mbali ikiwemo mmomonyoko wa ardhi LOL!
Ooh! Sawa shem asante kwa kunielewesha siunajua tena tulisoma na akili za weekend usiku...Shem sikudis mwanamke anaevaa skirt ndefu. Nilisema skirt ndefu mtu avae apendeze. Angalia wadada wanaovaaga skirt ndefu kama Belina Mgeni wanavyopendeza