Mwanamke Jipende Natural Achia Misitu

Mwanamke Jipende Natural Achia Misitu

Mkuu unapenda sketi ndefu? Mie niwe mkweli tu sketi ndefu sizipendi hata kidogo zile ni za kuvaliwa na Mabibi zetu aka Nyanya.
Kuna style ya skirt ndefu wanavaaga wadada wa kiislam na body suit flani hivii na mitandio kwa juu. Wanapeendezaga mnoo. Sio mtu anajivalia jiskirt tu halieleweki hata hapendezi
 
Kumbe eh? Mie huwa natoa za uso tena kavu kavu na hii hii tu huo muda wa kuanza kucheza na ID nyingine sinao. Halafu mwandiko wa BAK ulivyo mbaya ni rahisi tu kuugundua kwenye ID mpya.
Sema inataka moyo haki mi ningesahau siku nikajimwaga kwenye Id mpya
 
Ata sizipendi sema tu uzi ulimdiss mwanamke anaevaa hivyo ndio maana nilitaka picha yake...

Yale madini umeshisha kule maeneo yetu ile ndio mikato yenyewe sasa mkuu...
Shem sikudis mwanamke anaevaa skirt ndefu. Nilisema skirt ndefu mtu avae apendeze. Angalia wadada wanaovaaga skirt ndefu kama Belina Mgeni wanavyopendeza
 
Kabisa Mkuu na ndiyo sababu Muumba wetu akatuletea misitu duniani. Sasa wengine wanajifanya wajuaje sana wanaharibu misitu yote hawajui kama ina umuhimu mkubwa sana katika kuleta mvua, na ile harufu nzuri hasa mvua inaponyesha ambayo huvutia sana na pia kulinda dunia yetu na magharika mbali mbali ikiwemo mmomonyoko wa ardhi LOL!
[emoji16][emoji16][emoji16]
 
Shem sikudis mwanamke anaevaa skirt ndefu. Nilisema skirt ndefu mtu avae apendeze. Angalia wadada wanaovaaga skirt ndefu kama Belina Mgeni wanavyopendeza
Ooh! Sawa shem asante kwa kunielewesha siunajua tena tulisoma na akili za weekend usiku...
 
Back
Top Bottom