Mwanamke Jipende Natural Achia Misitu

Mwanamke Jipende Natural Achia Misitu

Ivi hujui nikimuexpose couple yenu itafunikwa humu jukwaani[emoji15] [emoji15] [emoji15] [emoji15] [emoji85] [emoji85] [emoji85]
Mh kwan ss tuna shida ya kufunikwa couple mapenzi yetu hayategemei kiki ya Jf mapenzi yetuuu yamenogaaaa nje Ya jf huku huwa tunaletaaa makombooo tu Mwenyewe unaelewaaa [emoji8][emoji8][emoji8][emoji8][emoji8]


Mrs Jr
 
Mimi afanye usafi wooote lakini pale kati asitoe zote yani hivyo tu
Sasa pale kati ni manjonjo tu. Unaweza ukatoa zote ukaacha kipara unaweza ukaweka kiduku unaweza ukaweka herufi unaweza ukatoa juu juu. Kule usafi wake ni kutoweka mavitu tuu
 
Back
Top Bottom