Manga ML
JF-Expert Member
- Jul 6, 2013
- 9,805
- 15,529
Hewaaa kumbe ulisha ambiwa usimalizeYanatumika kwenye tendo lenyewe. Wanasema zikigusa gusa zinahamasisha
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Hewaaa kumbe ulisha ambiwa usimalizeYanatumika kwenye tendo lenyewe. Wanasema zikigusa gusa zinahamasisha
Shost weee, kumbe ni oversize ngoja nikiache tu maana ushatoa kitchen party bila vyombo [emoji12] [emoji12] [emoji12]Kinakutosha lakini?
Ningekushtua mapema Mwifwa angenuna ndio mana nilikua nakukonyeza wewenae hukua unanielewaWeee mbaya kumbe, ulitaka unicheke ninavyotembea naburuza miguu kisa kiatu hakinitoshi eeeh! [emoji23] [emoji23] [emoji23]
Hizi ngumu hazifai na ukiwa na kawaida ya kupunguza hazikomaiOoooooh nilkuwa sjui kuna zingne ngumu kama stree wayaa zinaumiza
[emoji15] [emoji15] [emoji15] [emoji15] [emoji15]Muulize kama mm ni Tukinao kwake kwann ananifanyia hiv dada akeee why?
Nashukuru kwa kuniita, nimejione jibu lake [emoji4] [emoji4] [emoji4]
Ila uzi ungekua na picha ya mwanamke alievaa sketi ndefu ungependeza zaidi
Sio too much. Hata asipopaka kitu usoni basi mavazi yampendeze. Mi mwenyewe sio mtu wa make up kiviile. Napakaga lipstick na powder tu mara nyingi. Ila sijui kujipamba mpaka kubadilika hapanaNapenda mpenzi wangu avae apendeze.sipendelei too much make up. Mafuta mdomo wake ukang'aa inatosha
Uwahi kurudi[emoji125][emoji125][emoji125][emoji125][emoji125][emoji125]Nimesikia kishindo sebulen labda shemej yenu kadondoka na Ungo nitarud baadae ngoj nikamchek jaman oooooh
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]Weee mbaya kumbe, ulitaka unicheke ninavyotembea naburuza miguu kisa kiatu hakinitoshi eeeh! [emoji23] [emoji23] [emoji23]
[emoji23] [emoji23] [emoji23] Nashukuru kwa kujali, mkonyezo wako umenifikirishaNingekushtua mapema Mwifwa angenuna ndio mana nilikua nakukonyeza wewenae hukua unanielewa
Naam wewe unafyeka wote?Nzuri, naona wewe umesisitiza msitu usifyekwe wote majani yakaisha[emoji12]
Hutukuti hii hali si salama sana kwa kukesha[emoji125][emoji125][emoji125][emoji125][emoji125][emoji125]Nimesikia kishindo sebulen labda shemej yenu kadondoka na Ungo nitarud baadae ngoj nikamchek jaman oooooh
Sawa ndugu....[emoji23] [emoji23] [emoji23] Nashukuru kwa kujali, mkonyezo wako umenifikirisha
[emoji15] [emoji15] [emoji15] [emoji4]Mkuu unapenda sketi ndefu? Mie niwe mkweli tu sketi ndefu sizipendi hata kidogo zile ni za kuvaliwa na Mabibi zetu aka Nyanya.
Swali lako jepesi sana, ila jibu lake gumu [emoji85] [emoji85] [emoji85]Naam wewe unafyeka wote?
Pia misitu inazuia upepo mkali kama Tufani, Kimbunga ili isiweze kuzoa mapaa ya nyumbaUmeona eeh! Bila msitu ni shida tupu maana mvua hakuna hata ukitaka kupiga jembe ardhi ni ngumu utadhani ina mawe kumbe ni udongo mtupu ila umengangamara kwa kukosa mvua hahahahahahah