Mwanamke kama anakupenda unatambuaje ?

Mwanamke kama anakupenda unatambuaje ?

Atatamani kuwa karibu na wew, atakujali, atakuhurumia, atakuwa na wivu ukiwa karbu na wanawake wengine, atakuwa anakuagalia kiwiziwizi, atakuulza maswali unampenz/mke.
Hizi dalili mkuu hua zinaonekana kwenye uchumba sana, ila mkianza ndoa zinaanza kushuka.
 
Atakuhimiza uchakarike kutengeneza maisha bora , ili wote mjee mfurahie matunda yake kwa pamoja
 
Sikio la muazini nimependa hiyo avatar yako, umeoa?😎
 
Mwanamke kama ANAKUPENDA isharayake ili uajuwe atafanyaj
Atalala nekedi
5de77fc8-b71a-4bf2-977f-acdd86cde3a3.jpeg
 
Back
Top Bottom