Mwanamke kama unataka bwana mwenye gari

Mwanamke kama unataka bwana mwenye gari

Kuna mmoja alitaka mwenye gari, akasubiri mpaka akagonga 40, akabadili kauli chap chap "aje mwanaume yeyote ili mradi awe anapumua ".
 
Screenshot_20240811-125455_Instagram.jpg
Screenshot_20240811-125438_Instagram.jpg
 
Sasa jamani hela imeingiaje? Yeye kasema tu hapo ulipoegesha gari yako jamaa nae atakuja kuegesha yake mtaelewana.
Sahihi Mkuu, naona Wanawake Wanahangaika kutafuta Wanaume wenye Magari, wakati ni rahisi kuwapata....!

Ni sawa kama Mwanamke anataka Bwana wa Kizungu, hawezi kumpata Manzese, Kuna maeneo akiwa anaenda atakutana nae.
 
Back
Top Bottom