Mwanamke katoroka kwao, nifuate njia gani za kisheria?

Achana na mashoga hao wanakimbia majukumu ya kuwa wanaume

Na nyie mnaotombew-a kila siku ndio wanaume kamili msio mashoga?

Nani kakwambia kutokuoa ndio ushoga, kama ni mashoga mbona wanawatomb-a sanaa wake zenu?

After all, hivi unajua yule askari wa zenji alikua ni Mume wa mtu??

Sasa nani shoga kati yenu na wasioa?

#YNWA
 
Hakuna biashara isiyo na hasara,haina makombo ukumkuta bikira.
Kama unaogopa kufanya biashara kisa hasara
 
Hakuna Namna Fuata Taratibu Zote Zinazokubalika Mpate Ruhusa Mkaishi Kwa Amani
Tafuta Cash Kiasi Chochote Uende Na Hao Wazee Mkayamalize, Tayari Wewe Mwenyewe Ni Mzazi Huyo Mtoto Mlitenaye Akifanya Haya Ukubwani Mtamkemea
 
Huyo anampenda mwanaume kiasi anasukrifaizi undugu. Ni wife Material. Binti yangu alipoolewa alisema mimi na nyie basi. Ndugu yangu ni Mume wangu. Nasi tunamute tu
Ni kweli, kwani hatamani hata kwenda kwao, yaani alitaka hata kufuta namba zote za ndugu zake, mimi ndio nimemkataza asifanye hivyo
 
Na nyie mnaotombew-a kila siku ndio wanaume kamili msio mashoga?

Nani kakwambia kutokuoa ndio ushoga, kama ni mashoga mbona wanawatomb-a sanaa wake zenu?

After all, hivi unajua yule askari wa zenji alikua ni Mume wa mtu??

Sasa nani shoga kati yenu na wasioa?

#YNWA
Ila sio wote mkuu, punguza hasira
 
Hakuna Namna Fuata Taratibu Zote Zinazokubalika Mpate Ruhusa Mkaishi Kwa Amani
Tafuta Cash Kiasi Chochote Uende Na Hao Wazee Mkayamalize, Tayari Wewe Mwenyewe Ni Mzazi Huyo Mtoto Mlitenaye Akifanya Haya Ukubwani Mtamkemea
Ndio swala napambania mkuu
 
Mwanangu ishubza mchango ndio changamoto, hali ngumu kila mtu analia
Waambie wazazi wavumilie,kama wamekaza ishi nae hakuna madhara yoyote yatakupateni sababu sio nia yenu kukosa pesa.pesa ikipatikana mtawaomba radhi
 
Huyo anampenda mwanaume kiasi anasukrifaizi undugu. Ni wife Material. Binti yangu alipoolewa alisema mimi na nyie basi. Ndugu yangu ni Mume wangu. Nasi tunamute tu
Binti yako yupo sahii, Binti akishaolewa tu anakuwa pamoja na ndugu wa mume, mfano kabila letu Mwanamke hawezi kurithi mali mfano Ardhi ya ukoo ila mwanake anarithi Mali za mume wake na siyo za wazazi wake.
 
Back
Top Bottom