Liverpool VPN
JF-Expert Member
- Aug 29, 2020
- 6,958
- 16,358
Achana na mashoga hao wanakimbia majukumu ya kuwa wanaume
Na jana umeleta tangazo tukueleweje mkuuAchana na Mwanamke Mwambie arudi kwao
Kataa Ndoa
Hakuna biashara isiyo na hasara,haina makombo ukumkuta bikira.Na nyie mnaotombew-a kila siku ndio wanaume kamili msio mashoga?
Nani kakwambia kutokuoa ndio ushoga, kama ni mashoga mbona wanawatomb-a sanaa wake zenu?
After all, hivi unajua yule askari wa zenji alikua ni Mume wa mtu??
Sasa nani shoga kati yenu na wasioa?
#YNWA
Nimemwambia ahakikishe anapata baraka yeye anataka ujanja ujanja sasa Bora Mambo ya Ndoa Kama hayawezi awaachie wengineNa jana umeleta tangazo tukueleweje mkuu
Hakuna biashara isiyo na hasara,haina makombo ukumkuta bikira.
Kama unaogopa kufanya biashara kisa hasara
Mwanaume kamili akimbii majukumu. Shoga ni Mwanaume aliyejigeuza mwanamke kukwepa majukumuSasa kama wanawatomb-a wake zenu.
Kwanini unawaita mashoga kisa wamegoma kuoa?
#YNWA
Ni kweli, kwani hatamani hata kwenda kwao, yaani alitaka hata kufuta namba zote za ndugu zake, mimi ndio nimemkataza asifanye hivyoHuyo anampenda mwanaume kiasi anasukrifaizi undugu. Ni wife Material. Binti yangu alipoolewa alisema mimi na nyie basi. Ndugu yangu ni Mume wangu. Nasi tunamute tu
Ila sio wote mkuu, punguza hasiraNa nyie mnaotombew-a kila siku ndio wanaume kamili msio mashoga?
Nani kakwambia kutokuoa ndio ushoga, kama ni mashoga mbona wanawatomb-a sanaa wake zenu?
After all, hivi unajua yule askari wa zenji alikua ni Mume wa mtu??
Sasa nani shoga kati yenu na wasioa?
#YNWA
Ndio swala napambania mkuuHakuna Namna Fuata Taratibu Zote Zinazokubalika Mpate Ruhusa Mkaishi Kwa Amani
Tafuta Cash Kiasi Chochote Uende Na Hao Wazee Mkayamalize, Tayari Wewe Mwenyewe Ni Mzazi Huyo Mtoto Mlitenaye Akifanya Haya Ukubwani Mtamkemea
Ila sio wote mkuu, punguza hasira
Waambie wazazi wavumilie,kama wamekaza ishi nae hakuna madhara yoyote yatakupateni sababu sio nia yenu kukosa pesa.pesa ikipatikana mtawaomba radhiMwanangu ishubza mchango ndio changamoto, hali ngumu kila mtu analia
Anakupenda kwa dhati huyo! Shikamana naye usimuangusheNi kweli, kwani hatamani hata kwenda kwao, yaani alitaka hata kufuta namba zote za ndugu zake, mimi ndio nimemkataza asifanye hivyo
Binti yako yupo sahii, Binti akishaolewa tu anakuwa pamoja na ndugu wa mume, mfano kabila letu Mwanamke hawezi kurithi mali mfano Ardhi ya ukoo ila mwanake anarithi Mali za mume wake na siyo za wazazi wake.Huyo anampenda mwanaume kiasi anasukrifaizi undugu. Ni wife Material. Binti yangu alipoolewa alisema mimi na nyie basi. Ndugu yangu ni Mume wangu. Nasi tunamute tu
Kweli ndugu yangu na ndio napambana nipate pesaWaambie wazazi wavumilie,kama wamekaza ishi nae hakuna madhara yoyote yatakupateni sababu sio nia yenu kukosa pesa.pesa ikipatikana mtawaomba radhi