Pang Fung Mi
JF-Expert Member
- Nov 10, 2022
- 6,653
- 13,919
Kwanini wanakata viuno na wanafundishwq kukata viuno msingi wa hizi trainings au mafundisho ni nini? Tusipoteze nguvu sisi tutafute pesa wao waburudishe naongezea hapa chini maelezo.
Katika akili za haki na za kawaida na za kiumbaji, kiutamaduni na kibiashara mwanamke ameumbiwa Kuburudisha na amburudishe mwanaume, Sasa Cha ajabu mwanamke anahama jukumu lake la Kuburudisha au kuintertain, na hapa nisiongee mengi ndiomana tunalipa mahari, tunawanunua kwenye madanguro, sehemu zote za starehe, casinos, maclub, na hata free entrance sehemu za starehe baadhi ni Kwa muktadha huo wa kunogesha Kuburudisha
Mfano mwanaume ameumbiwa kutafuta mahitaji ya lazima ya ndani ya ndoa kama chakula, mavazi, na mengineyo, hivyo ifahamike kama ilivyo mwanamke yeye ndiye wa kumburudisha mwanaume,
Habari ya mwanamke kudai Kuridhishwa ni mapinduzi ya kijeshi katika taratibu na miongozo ya maisha.
Mwanamke anapaswa kujiandaa kujiridhisha mwenyewe katika zoezi zima la uburudishaji, in the process of entertaining a man every woman should equally go through self satisfaction because of stimulus and energy for the activity.
Kuburudisha ni wajibu wa wanawake and that's why we me pay bills for them, that why we men marry them.
Even by giving them sperms for pregnancy that the basic role of a sex recipient to facilitate a better taste of recieval.
Nimechokoza mjadala tuanzie hapo kurudi kwenye msingi.
Mwanaume usiteseke na habari ya kumridhisha mwanamke ni wajibu wake kukuhudumia a.k.a kukuridhisha wewe kitandani na maswala mengine.
Ukibisha hainihusu.
Wadiz a.k.a Master Donlee
Am out yayayayayaaa