Mwanamke kosa hamu ya tendo la ndoa

MOLAM

Senior Member
Joined
Oct 12, 2013
Posts
141
Reaction score
20
Ninawasalimuni wana jamvi wote. mimi nawaomba wataalam wa afya wanisaidie kwajambo hili, mkewangu hana kabisa hamu na tendo la ndoa tangu miaka 2, tatizo hilo lili mwanza mwaka1 baada ya kumwoa kabla alikuwa anahamu lakini sasa hana hamutena wala hafurahii tena. naomba msaada/ushauri wenu.

Naomba kuwasilisha.
 
Kuna sehemu unakosea, embu jitathimini kwanza
 
Kuna button hupress........hebu itafute ilipo........huwezi kosa hamu bana bila sababu.......tena hamu ya ninihii........no way........
 
Hivi wewe ulikwenda jandoni kweli kabla ya kumwoa huyo binti???? hayaaa fanya hiviiiii!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…