MOLAM
Senior Member
- Oct 12, 2013
- 141
- 20
Ninawasalimuni wana jamvi wote. mimi nawaomba wataalam wa afya wanisaidie kwajambo hili, mkewangu hana kabisa hamu na tendo la ndoa tangu miaka 2, tatizo hilo lili mwanza mwaka1 baada ya kumwoa kabla alikuwa anahamu lakini sasa hana hamutena wala hafurahii tena. naomba msaada/ushauri wenu.
Naomba kuwasilisha.
Naomba kuwasilisha.