jaman naombeni msaada nimepitiliza kuingia katika siku zangu sasa ivi ni siku ya saba tangu tar17 mpaka leo tar 23 siziojaona siku zangu, napata maumivu makali ya tumbo kama la bleed kwa kipindi yaani tumbo linauma sana hadi naishiwa nguvu naomba ushauri nifanyeje au kama kuna kitu mnajua kuhusiana na hili tatizo.
Haujafanya mapenzi na mwanaume?
sijafanya ila nilisafiri tu au na kubadili mazingira ni chanzo
Ni pm.jaman naombeni msaada nimepitiliza kuingia katika siku zangu sasa ivi ni siku ya saba tangu tar17 mpaka leo tar 23 siziojaona siku zangu, napata maumivu makali ya tumbo kama la bleed kwa kipindi yaani tumbo linauma sana hadi naishiwa nguvu naomba ushauri nifanyeje au kama kuna kitu mnajua kuhusiana na hili tatizo.
Ni pm.
Nenda kaonane na daktari wa kina mama. Huenda una hormones inbalance