Mwanamke kuchelewa kuingia siku zake kwa muda wa week

Mwanamke kuchelewa kuingia siku zake kwa muda wa week

okia

New Member
Joined
May 22, 2015
Posts
2
Reaction score
0
Jaman naombeni msaada nimepitiliza kuingia katika siku zangu sasa hivi ni siku ya saba tangu tarehe 17 mpaka leo tar 23 sijaona siku zangu, napata maumivu makali ya tumbo kama la bleed kwa kipindi yaani tumbo linauma sana hadi naishiwa nguvu naomba ushauri nifanyeje au kama kuna kitu mnajua kuhusiana na hili tatizo.
 
jaman naombeni msaada nimepitiliza kuingia katika siku zangu sasa ivi ni siku ya saba tangu tar17 mpaka leo tar 23 siziojaona siku zangu, napata maumivu makali ya tumbo kama la bleed kwa kipindi yaani tumbo linauma sana hadi naishiwa nguvu naomba ushauri nifanyeje au kama kuna kitu mnajua kuhusiana na hili tatizo.

Haujafanya mapenzi na mwanaume?
 
Ni pm.
 
pole sana dada kutokuona siku zako ni shida kwa wale ambao hawana tabia ya siku zao za mwezi kubadilikabadilika'visababishi mimba,mawazo'mazingira'magonjwa kwenye via vya kizazi matatizo ya homon.ombi fika kituo cha tiba hakikisha unaweka wazi dawa ambazo unatumia kama zipo 'mfano pombe kali'uzaz wa mpango 'kifua kikuu'kifafa'zakupunguza makali ua vvu na nyingnezo.
 
Nenda kaonane na daktari wa kina mama. Huenda una hormones inbalance
 
Back
Top Bottom