Mwanamke kufanya mapenzi mara moja kwa mwezi, anaweza pata madhara?

bishontongo

JF-Expert Member
Joined
Nov 3, 2016
Posts
239
Reaction score
223
Habari zenu wazima!

Nahitaji kujua mwanamke ukiwa unakutana na mwanaume mara moja kwa mwezi au zaidi ya miezi 3 unaweza kupata matatizo au ni vizuri zaidi unatunza mwili? Na kama ni matatizo ni kama yapi?

Ahsanteni ila si ruhusa kutukana.

Angalizo.
 
Angalizo sio angarizo.

Mwili wako ni hekalu la Mungu hivyo basi kugunga mpaka ndoa ndo mpango
 
unapata matatizo mengi ya kisaikolojia pia inapelekea kupata maradhi mbali mbali kama UTI, fungas na kansa ya matiti na uzazi pia inapelea uke kuwa na harufu mbaya sana so jitahidi uwe unafanya mara nyingi nyingi
 
Mkuu belionea umetiaha sana
 
Anagalizo sio angarizo.

Mwili wako ni hekalu la Mungu hivyo basi kugunga mpaka ndoa ndo mpango
kama nimpaka ndoa kwanini mlipewa ivyo vikojoleo na mkabaleghe mapema kabla ya ndoa.?

kwanini kusingekua na utaratibu wa kupewa ivyo vikojoleo pale tu manapo funga ndoa.? usha ona wapi mtu anapewa tuzo kabla ya kazi.? au mwanafunzi anatunikiwa cheti kabla ya kuitimu.
 
unapata matatizo mengi ya kisaikolojia pia inapelekea kupata maradhi mbali mbali kama UTI, fungas na kansa ya matiti na uzazi pia inapelea uke kuwa na harufu mbaya sana so jitahidi uwe unafanya mara nyingi nyingi
[emoji23][emoji23]
 
[emoji16][emoji16][emoji16][emoji16][emoji16]
 
Wenzio wanagegedwa kila siku wee unawaza mwezi, wee liwa wala usiogope haina madhara pia hukuondolea stress kama utafanya kwa starehe siyo kufanya sababu mwenzio anataka mfanye
 
Back
Top Bottom