bishontongo
JF-Expert Member
- Nov 3, 2016
- 239
- 223
Habari zenu wazima!
Nahitaji kujua mwanamke ukiwa unakutana na mwanaume mara moja kwa mwezi au zaidi ya miezi 3 unaweza kupata matatizo au ni vizuri zaidi unatunza mwili? Na kama ni matatizo ni kama yapi?
Ahsanteni ila si ruhusa kutukana.
Angalizo.