Kwi kwi kwi kwi jana i had a nocturnal dream,guess niliota ninaniililyu na nani.....kwi kwi kwi.....msalimie bana mpe na hii story ya nocturnal dream.....kwi kwi kwi !!!!!!!!
Kwi kwi kwi kwi jana i had a nocturnal dream,guess niliota ninaniililyu na nani.....kwi kwi kwi.....msalimie bana mpe na hii story ya nocturnal dream.....kwi kwi kwi !!!!!!!!
Nakubaliana na unachosema phina lakini jambo hili hutegemea occurrence kuconclude kama ni pepo au ni ndoto tu. Na juu ya hili, tabia zinazoambatana na ndoto za namna hii husaidia kujua kama ni ndoto tu au ni PEPO.
Wakuu, pepo la UGUMBA huwa namna hii. Unapoota kujamiiana na mwenza ambaye humtambui kabisa basi hii si dalili nzuri. Kuna wakati unaweza ota uko na jirani, rafiki, mtu ambaye huwa unamuwaza mchana n.k, hizi ni ndoto. Lkn ikiwa ndoto zako zinahusisha viumbe ambavyo hufahamu, yaani unahisi tu kuwa uko kwenye tendo na unayefanya naye hajadhihirika, hilo ni pepo.
Yeyote aliyewahi kukumbwa na hali hii atakubaliana na mimi kuwa, raha anayoipata anaposhirikiana na pepo hilo huwa haielezeki. Jambo hili likimkuta mwanaume huwa ndio mwanzo wa kupungukiwa nguvu za kiume. Hali hii hujitokeza kwa kuwa kile kiwango cha utamani kwa binadamu mwenzako kinaathiriwa na penzi tamu unalopata kwa pepo huyo kiasi hutakuwa na muda na ndoa kwani hata hamu yote huwa imetoweka.
Wanawake wwengi wenye matatizo ya uzazi huelezea kukumbwa na hali hii na moja kati ya dalili zake ni kuparaganyika kwa siku za hedhi.
NN..nakuaga nimelala!but one day i had the dream when someone was around..no abnormal activity was reported!!
some times nikiamka nakuta the bed is messed up!!