Mwanamke kufika kileleni ndotoni (female noctunal orgasms)

Mwanamke kufika kileleni ndotoni (female noctunal orgasms)

Dah na atakufaidi lol
Ntamwomba anipe nafasi ya kukupa mambo lol ukitoka hapo hutarudia tena
Hahahaaaa hivi bado anaendelea na ile tabia yake?

Hahah..unapenda eh??
Sijaenda kanisani kwake nina mda sasa-lakini nadhani hataacha hiyo tabia!!
 
Hahah..unapenda eh??
Sijaenda kanisani kwake nina mda sasa-lakini nadhani hataacha hiyo tabia!!
Dah we acha tu
Naenda coz ni ya kipekee!
We hupendi phina?
 
Last edited by a moderator:
phina and Erotica may your dreams come true. To me this isn't a dream it is ma real life for several years.
 
Last edited by a moderator:
THOUGH AM A MAN...i have it almost daily especially WEEKEND nikiwa nishastua VARLUE zangu kadhaaa...
Kama ni majini basi ntakua na watoto wengi sana huko UJININI...........
 
Kabla ya kulala uliangalia movi gani na kama uliangalia movi za mahusiano basi ni mawazo yalotokana na movi na pia je wewe unamwazo ya kufikiria mpendwa/mtu fulani umpendaye kama una fikra hizo basi ni mawazo juu ya hicho unachowaza.; kama hukuwa unaangalia movi/mawazo yeyote nadhani ni tatizo naomba fanya maombi zaidi si vizuri kuwa na ndoto hizo.
 
mm week yote hii am cumming ndotoni, sbb kuna mtu namfantasize tuki do na

hatujawahi. na it feelz so real yani na so good. i pray the reality itakuwa hivo.. :tonguez:
wewe si ulifanya hivi majuzi tu, tena ww ndo ulimlazimisha jamaa ku do? kweli mwanaume atakaekuwa nawe lazima awe anatoa dozi km ile ya klorokwini 4*4*2
 
U've said it already ni jambo la kawaida tu.
 
there have df btn you headline and exaplanation try 2explain acordinig 2you head
 
THOUGH AM A MAN...i have it almost daily especially WEEKEND nikiwa nishastua VARLUE zangu kadhaaa...
Kama ni majini basi ntakua na watoto wengi sana huko UJININI...........

Hahahah..raha eh??
 
Phina..............! Wat a suprise aisee!! Mpambanaji, wale jamaa bwana walikuja kutuchomolea kutupa zile pesa, ila wenzetu walipata,except sisi watu 25 special case wale,i thnk umenipata, ila tulifanya follw up, kuna matumaini kidogo kwa mbali.......... Keep ur fingers closed still. Halafu bwana tar 23 kuna dalili zote za kutangaza kamgomo tena, serikali ya JK inatufanya watoto. Aisee unajua huku ni usiku sana, ngoja nilale............ And about your post i have no comment kabisa!!
 
Kabla ya kulala uliangalia movi gani na kama uliangalia movi za mahusiano basi ni mawazo yalotokana na movi na pia je wewe unamwazo ya kufikiria mpendwa/mtu fulani umpendaye kama una fikra hizo basi ni mawazo juu ya hicho unachowaza.; kama hukuwa unaangalia movi/mawazo yeyote nadhani ni tatizo naomba fanya maombi zaidi si vizuri kuwa na ndoto hizo.

Kwa nini sio vizuri??kuna tofauti gani na ndoto hiyo na ndoto nyingine zozote??that is what i want to find out..kwa nini nikiota nakula chakula ama naufua nguo hakuna tatizo-lakini nikiota nafika kileleni kuna tatizo??help me understand..
 
By the way............... Umefanyia kazi the advice i gave you??wink* wink*..........!
 
wewe si ulifanya hivi majuzi tu, tena ww ndo ulimlazimisha jamaa ku do? kweli mwanaume atakaekuwa nawe lazima awe anatoa dozi km ile ya klorokwini 4*4*2

Chezeya eritica wewe..huyo ndo mwanamke!!ushindwe wewe tu!
 
Back
Top Bottom