Kaunga, sikatai kwamba mapepo hayapo, najua yapo.
Ila hili la ndoto za mapenzi sioni pepo anaingiaje, ukiachia ile ya dungadunga wa Dodoma
Nii kitu cha kawaida kabisa hasa kwa mtu aliyewaza ngono kwa muda mrefu.
Kama wanamme wanapata why not wanawake?
Nachokataa mbona wanamme hawaambiwi ni pepo?
Hivi unajua maana ya kuomba ili usipate ndoto za aina hii?
Mie huwa naona ni aina ya ku-connect na wewe mwenyewe na kuipa 'power'akili yako ya kutowaza ngono wakati umelala.

Kongosho sikuwaza ngono tu pekee yake. Hata kwa wapenzi ambao wanananihii mara kwa mara kama watakuwa mbali kwa kipindi kirefu kidogo basi hizi ndoto zinaweza kumtokea binti pia kama inavyotokea kwa wanaume.
Mimi ninamuota mpenzi wangu, na si total stranger.
Mimi ninamuota mpenzi wangu, na si total stranger.
BAK sidhani kama iko hivyo, kiuhalisia. Wet dreams zipo kwa wakaka na siku hiz naona tumezihamishia kwa wadada. labda tungejiuliza ni kwanini mkaka anapata wet dreams na vitu gan vinavyo msubject kwenye hili kisha ndipo tugeuke upande wa pili wa mdada je sababu ni kama hiyo? na factors ni hizo hizo?Kongosho sikuwaza ngono tu pekee yake. Hata kwa wapenzi ambao wanananihii mara kwa mara kama watakuwa mbali kwa kipindi kirefu kidogo basi hizi ndoto zinaweza kumtokea binti pia kama inavyotokea kwa wanaume.
Unaweza omba usisikie njaa na kweli ukaacha sikia njaa?
Kama umeomba na hujaota hiyo ndoto, maana yake (kwa mtazamo wangu) ni spiritual warfare hiyo na sio physical need kama kwa case ya wanaume.
Again nimeshuhudia shuhuda za wanaume wengi ambao wana spiritual wives na wanaelezea jinsi gani hili jini mahaba lilivyoathiri hamu na nguvu zake za kiume kwa mkewe. Dreaming about the person you know and love/admire is quite different by having a constant dream about a total stranger (looks like a sprit to me).
BAK sidhani kama iko hivyo, kiuhalisia. Wet dreams zipo kwa wakaka na siku hiz naona tumezihamishia kwa wadada. labda tungejiuliza ni kwanini mkaka anapata wet dreams na vitu gan vinavyo msubject kwenye hili kisha ndipo tugeuke upande wa pili wa mdada je sababu ni kama hiyo? na factors ni hizo hizo?
manake kama ingekuwa ni kitu cha kibiologia basi wakati wa ovulation kila mwanamke angekuwa nazipata hzi wet dreams. na sikatai waweza pata mara moja but kila mara lazima kuwepo na doubts. pia kumbuka kuwa idadi kubwa ya wanawake ndio wanaopata hysteria kuliko wakaka na hii ni kwasababu wao wet dreams zinawapunguzia. anyway siwezi kuconvice am kutetea
Hapa kuna mawili,
Uko starved sana na ngono au huna mpenzi permanent kwa sasa.
So akili yako haikonsentret kwa mtu mmoja.
So kama unawaota watu 10 meaning you are not starved kwa ngono na you have a permanent lover? Sielewi, l am totally confused!
So kama unawaota watu 10 meaning you are not starved kwa ngono na you have a permanent lover? Sielewi, l am totally confused!
BAK sidhani kama iko hivyo, kiuhalisia. Wet dreams zipo kwa wakaka na siku hiz naona tumezihamishia kwa wadada. labda tungejiuliza ni kwanini mkaka anapata wet dreams na vitu gan vinavyo msubject kwenye hili kisha ndipo tugeuke upande wa pili wa mdada je sababu ni kama hiyo? na factors ni hizo hizo?
manake kama ingekuwa ni kitu cha kibiologia basi wakati wa ovulation kila mwanamke angekuwa nazipata hzi wet dreams. na sikatai waweza pata mara moja but kila mara lazima kuwepo na doubts. pia kumbuka kuwa idadi kubwa ya wanawake ndio wanaopata hysteria kuliko wakaka na hii ni kwasababu wao wet dreams zinawapunguzia. anyway siwezi kuconvice am kutetea
Hawa wanaotoa shuhuda unawaamini kiasi gani?
Dunia hii ya leo ambayo imani imechakachuliwa na pesa kiasi hiki??
Anyway, but nisije kwaza roho changa kiimani.
But seriously, hapa kuna kitu tunajichanganya mie nadhani
Unaamini kwa wanamme huwa wanapata ndoto za aina hii?
Hasa wanapokuwa wanakua?
Na kwanini wanapokuwa wanakua? Usieleze kisayansi sana, elezea tu unavyodhani lol
@Kaunga kuna mambo mengi sana kuhusu binadamu ambayo binadamu hatuyaelewi. Mtu anaweza kuota ndoto ya kutisha sana pamoja na kuwa alikuwa hawazii jambo lolote la kutisha.
Kwanza hujambo wewe? Mie niko poa kabisa...Kingine kumbuka kwamba binadamu hatuna uwezo wa kuchagua ndoto zipi za kuota vinginevyo tungekuwa hatuoti ndoto za kutisha. Hivyo ndoto kama hii inaweza kumtokea mtu bila hata ya kuwaza ngono kwa kipindi kirefu
Sijabagua mapepo na jinsia, mapepo yaweza mpata mwanamke au mwanamume (dont put words in my mouth). na sijasema wanawake hawaoti, ninachosema kuna ndoto na kuna mapepo pia ambayo humuingia mtu kimwili kwa njia ya ndoto. Waweza, naweza nisitofautishe kwani inahitaji uwezo wa kiroho zaidi. Kwa akili yangu ya kibinadamu nimejaribu kufikiria how comes mtu amuote total stranger (na huyo mimi nahisi ni pepo) again l may be wrong; lakini kuwa kwangu wrong hakumaanishi spirits hawapo (kama unaamini kuhusu Mungu and the supernatural lakini).