Kawaida tu nimebadilishwa jinsina na yule demuHahaha nitashukuru man
Pole ya kupewa jinsia mpya
DJ sepetu
Kabla ya wazungu mambo yalikuaje jamani ni lugha kumbe sio tamaduniChochote afanyacho mzungu tunakipa umuhimu. Wao mke wa fulani anaitwa mrs.... kama haitoshi majira ya saa, 12 anasema 6, 7 anasema 1 nk, mradi tunaiga tu!
Asante kwa experienceHii Hapana Mimi siiungi mkono, kwanza mwanaume ni kiumbe cha Mwenyez Mungu, kesho akitangulia mbele za Haki ukaolewa tena Itakuwaje??
Pili kuna kuachana, mfano dada Wa mitikisiko kabadili Majina weeee Sasa katulia na Jina lake Dida Shaibu.
Kuna rafiki yangu, kitambulisho cha kura cha mwaka 2010 Jina lake ubin wa baba yake kitambulisho hiki akatafutia passport
Mwaka 2015 akatengeneza kitambulisho kipya cha kura Jina ubin katumia wa mume wake
Akapata safar ya ghafla kwenda nje ya nchi usiulize usumbufu alioupata
Bora ujiite Mrs somebody. Jina lako likabakia lilelie
Mkuuu ,,,,ukishaoa wewe ndo mmiliki wa chombo ,, sasa ili chombo chako kijulikane kua nichako nilazima kiwe na jinalako....Kwa hiyo ina maana kuambatana sio kuwa kitu kimoja ni mwanamke Ku loose identity
DJ sepetu
Wanawake wengi viherehere tu hawalazimishwi, kwa uislam mume anaweza akakubadili tu Jina analolitaka km me naitwa Aisha mume akataka Jina la ndoa liwe khadija na sio lazima. Wakati huo huo Jina Langu LA asili linabaki palepale.Kwann mwanamke hana Uhuru Wa kuhama Na majina yake akiolewa
DJ sepetu
Basi huna mapenzi ya kweliMimi nikiolewa sitabadili ubini, labda niitwe mrs fulani kwa mdomo ila sitabadili kimaandishi, ndo maana wengi wameonekana wamefoji vyeti wakati wa ukaguzi wa vyetu watumishi
Sent using Jamii Forums mobile app