Mwanamke kuhama ukoo baada ya ndoa!

Mwanamke kuhama ukoo baada ya ndoa!

DJ SEPETU

JF-Expert Member
Joined
Apr 17, 2017
Posts
8,413
Reaction score
12,336
Asalaam alekhum!

Tumsifu yesu kristo!

Bwana asifiwe!

Mambo

Tuna majina yetu ya asili tuliyopewa Na wazazi au walezi wetu tunayapenda Na kuyathamini

Ila kwa wanawake wengi wao wakisha olewa basi hupoteza surname yao Na kuanza kutumia surname au jina la ukoo la mwanaume

Je kwanini hivi kuna faida yeyote ya mke kuhama ukoo?

Utasikia mtu anaitwa mama john wakati mumewe ndio john Na yeye labda ni Joyce Marko

Karibuni

DJ sepetu
 
Fid Q alisema kidume ukitulia unaibiwa jina la mwisho sasa na ww ukitulia tu
Mke wako ataitwa
Moneytalk muosha rungu
Hahaha nitashukuru man
Pole ya kupewa jinsia mpya

DJ sepetu
 
Mkuuu,,, imeandikwa naye mwanamke ataachana na wazaz wake nakuambatana na mumewe ..nadhan hii ndo sababu .... .
 
Chochote afanyacho mzungu tunakipa umuhimu. Wao mke wa fulani anaitwa mrs.... kama haitoshi majira ya saa, 12 anasema 6, 7 anasema 1 nk, mradi tunaiga tu!
 
Hii Hapana Mimi siiungi mkono, kwanza mwanaume ni kiumbe cha Mwenyez Mungu, kesho akitangulia mbele za Haki ukaolewa tena Itakuwaje??

Pili kuna kuachana, mfano dada Wa mitikisiko kabadili Majina weeee Sasa katulia na Jina lake Dida Shaibu.

Kuna rafiki yangu, kitambulisho cha kura cha mwaka 2010 Jina lake ubin wa baba yake kitambulisho hiki akatafutia passport

Mwaka 2015 akatengeneza kitambulisho kipya cha kura Jina ubin katumia wa mume wake
Akapata safar ya ghafla kwenda nje ya nchi usiulize usumbufu alioupata

Bora ujiite Mrs somebody. Jina lako likabakia lilelie
 
Kwann mwanamke hana Uhuru Wa kuhama Na majina yake akiolewa

DJ sepetu
 
Chochote afanyacho mzungu tunakipa umuhimu. Wao mke wa fulani anaitwa mrs.... kama haitoshi majira ya saa, 12 anasema 6, 7 anasema 1 nk, mradi tunaiga tu!
Kabla ya wazungu mambo yalikuaje jamani ni lugha kumbe sio tamaduni

DJ sepetu
 
Hii Hapana Mimi siiungi mkono, kwanza mwanaume ni kiumbe cha Mwenyez Mungu, kesho akitangulia mbele za Haki ukaolewa tena Itakuwaje??

Pili kuna kuachana, mfano dada Wa mitikisiko kabadili Majina weeee Sasa katulia na Jina lake Dida Shaibu.

Kuna rafiki yangu, kitambulisho cha kura cha mwaka 2010 Jina lake ubin wa baba yake kitambulisho hiki akatafutia passport

Mwaka 2015 akatengeneza kitambulisho kipya cha kura Jina ubin katumia wa mume wake
Akapata safar ya ghafla kwenda nje ya nchi usiulize usumbufu alioupata

Bora ujiite Mrs somebody. Jina lako likabakia lilelie
Asante kwa experience

DJ sepetu
 
Ni mahaba au mfumo dume!?

DJ sepetu
 
Kwa hiyo ina maana kuambatana sio kuwa kitu kimoja ni mwanamke Ku loose identity

DJ sepetu
Mkuuu ,,,,ukishaoa wewe ndo mmiliki wa chombo ,, sasa ili chombo chako kijulikane kua nichako nilazima kiwe na jinalako....

Bila IVO ,,,,kuna mkuuu amekushauri ivi ,,ukicheza utaitwa moneytalk muosha rungu
 
Kwann mwanamke hana Uhuru Wa kuhama Na majina yake akiolewa

DJ sepetu
Wanawake wengi viherehere tu hawalazimishwi, kwa uislam mume anaweza akakubadili tu Jina analolitaka km me naitwa Aisha mume akataka Jina la ndoa liwe khadija na sio lazima. Wakati huo huo Jina Langu LA asili linabaki palepale.
 
Back
Top Bottom