Mwanamke kuhama ukoo baada ya ndoa!

Wanawake wengi viherehere tu hawalazimishwi, kwa uislam mume anaweza akakubadili tu Jina analolitaka km me naitwa Aisha mume akataka Jina la ndoa liwe khadija na sio lazima. Wakati huo huo Jina Langu LA asili linabaki palepale.
OK
Ukizaa watoto atakuita mama Fulani au Aisha

DJ sepetu
 
Mkuuu ,,,,ukishaoa wewe ndo mmiliki wa chombo ,, sasa ili chombo chako kijulikane kua nichako nilazima kiwe na jinalako....

Bila IVO ,,,,kuna mkuuu amekushauri ivi ,,ukicheza utaitwa moneytalk muosha rungu
Sawa ila huo ni ubabe Na si mapenzi

DJ sepetu
 
Sema neno

DJ sepetu
Mkuu mimi naona hili jambo/swala liko upande wa WAKATOLOKI tu....!!

Huku kwa wengine tunawaita kwa majina yao halisi.
Mfano:- Asha binti Sudi (Asha mtoto wa Sudi/ Asha Sudi)
Mwajuma binti Kassim
Rehema binti Seif n.k....

Swala la wanandoa kutohoa/kukopa jina la Mume wake, linabaki upande wa Imani ya Wakatoliki....!!

Hivyo ndivyo ninavyo fahamu...[emoji15] [emoji15] [emoji15] [emoji125] [emoji125] [emoji125]

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Ila siku hiz sio sana ..ni option ya mke kutumia au kutotumia
 
Kumbe sio kitamaduni tu Na kidini pia

DJ sepetu
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…