DJ SEPETU
JF-Expert Member
- Apr 17, 2017
- 8,413
- 12,336
- Thread starter
- #21
OKWanawake wengi viherehere tu hawalazimishwi, kwa uislam mume anaweza akakubadili tu Jina analolitaka km me naitwa Aisha mume akataka Jina la ndoa liwe khadija na sio lazima. Wakati huo huo Jina Langu LA asili linabaki palepale.
Ukizaa watoto atakuita mama Fulani au Aisha
DJ sepetu