Habarini ndugu, mimi ni mwanamke ambaye hivi karibuni mwanaume wangu anataka akajitambulishe kwetu pamoja na kunivisha pete. Sasa tatizo ni kwamba ananiambia anipe hela nikanunue mwenyewe na mimi kiukweli napenda yeye ndo anunue. Naona kama halipi uzito hili swala na sio kama namforce. Naombeni ushauri wenu nifanyaje?