Mwanamke kujinunulia pete ya uchumba imekaaje?

Mwanamke kujinunulia pete ya uchumba imekaaje?

qtie

Member
Joined
Feb 3, 2017
Posts
33
Reaction score
11
Habarini ndugu, mimi ni mwanamke ambaye hivi karibuni mwanaume wangu anataka akajitambulishe kwetu pamoja na kunivisha pete. Sasa tatizo ni kwamba ananiambia anipe hela nikanunue mwenyewe na mimi kiukweli napenda yeye ndo anunue. Naona kama halipi uzito hili swala na sio kama namforce. Naombeni ushauri wenu nifanyaje?
 
Unapenda kushtukiziwa, labda unge mwambia tu ajue kuliko kuja kusema huku,

Akijua kama unapenda kushtukiziwa basi utashangaa hata siku yakukuvisha pete utasema waaaaaooolw, maana hautajua kama siku hiyo ndio unapewa dhamani ya pete
 
Jamaa keshakula mzigo au bado? Tuanzie hapo kwanza [emoji1550]‍♂️[emoji1550]‍♂️[emoji1550]‍♂️[emoji1550]‍♂️[emoji1550]‍♂️[emoji1550]‍♂️[emoji1550]‍♂️[emoji1550]‍♂️[emoji1550]‍♂️
 
atakua hajui size ya kidole chako mpe ushirikiano tu.....
 
h
Jamaa keshakula mzigo au bado? Tuanzie hapo kwanza [emoji1550]‍♂️[emoji1550]‍♂️[emoji1550]‍♂️[emoji1550]‍♂️[emoji1550]‍♂️[emoji1550]‍♂️[emoji1550]‍♂️[emoji1550]‍♂️[emoji1550]‍♂️
ivi kweli kwa mfano assume jamaa kala mzigo.....inakuaje.maana kuna binti nilikula mzigo nae akaulizwa na mama yake umeshampa utamu huyo kijana? kwa mujibu wa binti
 
Back
Top Bottom