Mwanamke kujisaidia wakati wa kujamiana

Mwanamke kujisaidia wakati wa kujamiana

B40

JF-Expert Member
Joined
Dec 4, 2016
Posts
820
Reaction score
537
Wakuu habari za mihangaiko

Bila kupoteza muda niende madani kuna rafiki yangu kipenzi ameniomba ushauri ila nimekosa jibu.

Jamaa kaniambia kuwa Jana wakati anasex na mpenzi wake kitu cha ajabu kilitokea baadae baada ya jamaa kuona kinyesi katika shuka,na staili ilikuwa ya kifo cha mende(missionary).

Jamaa hana tabia ya kupita mlango Wa nyuma,na ameshakuwa faragha mara 6 na huyo mwanamke tukio hili ni Mara ya kwanza.

Pia mwanamke ana mkia wa kondoo(zigo la kuvunja chaga)pia huwa anarusha maji (squirting).

Jamaa ilibidi afue shuka ila alimficha mwanamke alipomuuliza mbona anafua shuka,je huyu mwanamke hakujua alichofanya?

Nisaidieni kumjibu maana mimi sijui la kumwambia.

Je, ni kawaida kama ndio nini husababisha?

Karibuni wapendwa.
 
Wakuu habari za mihangaiko.bila kupoteza muda niende madani.kuna rafiki yangu kipenzi ameniomba ushauri Ila nimekosa jibu.
Jamaa kaniambia kuwa Jana wakati anasex Na mpenzi wake kitu cha ajabu kilitokea baadae baada ya jamaa kuona kinyesi katika shuka!!,Na staili ilikuwa ya kifo cha mende(missionary).
Jamaa hana tabia ya kupita mlango wa nyuma,Na amesha kuwa faragha Mara 6 Na Huyo mwanamke tukio hili ni Mara ya kwanza

Ni jamaa au wewe mwenyewee ..😉😉
usipende kuwa shuhuda wa vitu visivyo kuhusu
huna uhakika wa taarifa tajwa.
 
nawaza kwa sauti,, demu alikuwa na haja hakwenda sasa wakati ana anakojoa unajua misuli hulegea basi akalegeza kote yaani utamu ulizidi kiasi kwamba hata likija pouwa tu
Inawezekana mkuu maana nasikia Hugo demu huwa Na multiple orgasm
 
Back
Top Bottom