Mwanamke kujisaidia wakati wa kujamiana

Mwanamke kujisaidia wakati wa kujamiana

Jamani umakini unatakiwa ktka mambo hyo ymkini kunatabia imejificha ktka hali ya sntofaham
 
Kwa Mara ya kwanza sio mbaya mwambie warudie game ili ikitokea tena basi ajue kuwa huyo anamsaliti
 
We jamaa zero kabisa nani kakuambia walikuwa wanafanya huo upuuzi wako?
Sasa kama mwanamke ameorojeka.. Sio size yako hyo. Waachie wenye mambo hayo tumalize shughuli
 
ukiona hivyo ujue tayari walishamwamisha mtandao mda bila kubadili namba vijana wa town
 
Huenda alizidiwa na namna ulivo mpa mapenzi..Time to reach end of action ikamtokea pia na hofu labda mwanaume una mguu wa mtoto
 
Wakuu habari za mihangaiko

Bila kupoteza muda niende madani.Kuna rafiki yangu kipenzi ameniomba ushauri Ila nimekosa jibu.

Jamaa kaniambia kuwa Jana wakati anasex Na mpenzi wake kitu cha ajabu kilitokea baadae baada ya jamaa kuona kinyesi katika shuka!!,Na staili ilikuwa ya kifo cha mende(missionary).

Jamaa hana tabia ya kupita mlango Wa nyuma,na ameshakuwa faragha mara 6 na huyo mwanamke tukio hili ni Mara ya kwanza.

Pia mwanamke ana mkia wa kondoo(zigo la kuvunja chaga)pia huwa anarusha maji (squirting).

Jamaa ilibidi afue shuka ila alimficha mwanamke alipomuuliza mbona anafua shuka,je huyu mwanamke hakujua alichofanya?

Nisaidieni kumjibu maana mimi sijui la kumwambia.

Je, ni kawaida kama ndio nini husababisha?

Karibuni wapendwa.



Inawezekana kujisaidia au mkojo kutoka bila ya yeye kujua. Hii inatokea kama alipata massive orgasm.


Wakati wa Orgasm kuna compounds zinazalishwa mwilini zinaitwa prostaglandins ambazo zina sababisha Uterus i- contract sana na kuongezeka kwa msukumo wa damu kwenye lower pelvis ,kwahiyo inatoa wakati mgumu kwa muhusika ku hold mkojo au haja kubwa.
 
Back
Top Bottom