Mwanamke kukata mawasiliano na mumewwe!

Mwanamke kukata mawasiliano na mumewwe!

Kinoamiguu

JF-Expert Member
Joined
Nov 29, 2018
Posts
11,936
Reaction score
15,196
Wadau ipo hivi.
Nina jamaa yangu nafanya nae kazi. Mke wake ni mwalimu sasa mwanafunzi wa chuo kimoja hivi kikubwa hapa nchini
Kabla ya kwenda chuo mahusiano yao yalikiwa yamekaa vizuri kabisa. Baada ya miezi miwili chuo Bible hana taimu na jamaa kabisa . Hili limekaaje
 
Kati ya kundi lenye ratiba nyepesi vyuoni ni waalimu. Pia hata wanaosomea udokta wakiwa kwenye penzi shatashata muda unapatikana mwingi tu,wakichokana ubusy unaibuka ghafla
Aaah wapi!! Ubusy hutofautiana kati ya mtu na mtu. Kuna wale ambao wao wapo tu shule ilimradi wapate vyeti. Na kuna wale wasongo.
Mke wa jamaa ni msongo hivyo muda wa kubebishana hana.
 
Ahesabu maumivu,na bilashaka yupo off campus japokua vyumba vinaweza vikawepo vyakutosha kwenye chuo husika ila baadhi yao hawataki kukaa chuo,wainjoi freedom.
 
Wadau ipo hivi.
Nina jamaa yangu nafanya nae kazi. Mke wake ni mwalimu sasa mwanafunzi wa chuo kimoja hivi kikubwa hapa nchini
Kabla ya kwenda chuo mahusiano yao yalikiwa yamekaa vizuri kabisa. Baada ya miezi miwili chuo Bible hana taimu na jamaa kabisa . Hili limekaaje

Wanamla, Hakuna mwanamke ambaye atakosa huduma kwa mume kwa sababu ya distance asijisumbue kwa mawasiliano, wanamla.
 
Ahesabu maumivu,na bilashaka yupo off campus japokua vyumba vinaweza vikawepo vyakutosha kwenye chuo husika ila baadhi yao hawataki kukaa chuo,wainjoi freedom.
 
Wadau ipo hivi.
Nina jamaa yangu nafanya nae kazi. Mke wake ni mwalimu sasa mwanafunzi wa chuo kimoja hivi kikubwa hapa nchini
Kabla ya kwenda chuo mahusiano yao yalikiwa yamekaa vizuri kabisa. Baada ya miezi miwili chuo Bible hana taimu na jamaa kabisa . Hili limekaaje
Kuna msaidizi wa jamaa huko chuoni, yeye ajiongeze tu kulko kusubiri kuumizwa moyo. [emoji3][emoji3]
 
Kwa ushauri wa dharura,
mpange Jamaa wako ajiandae kisaikolojia wakati anasikilizia aangalie plan B

Mambo n mengi hichi kizazi cha nyoka .
 
Back
Top Bottom