Thomas Segere
Member
- Apr 5, 2016
- 13
- 4
Keanza nikupe pole sana kwa changamoto kubwa unayo ipitia ambayo inakusononesha hasa unapohitaji faragha na mumewako. Usijiskie mbyonge, nenda hospitali kubwa onana na daktari wa akina mama tatizo lako linapona kabisa.