Mwanamke kukosa uteute ukeni tatizo lake ni nini?

Mwanamke kukosa uteute ukeni tatizo lake ni nini?

Nashukuru ndug nitafanyia kazi ushauri wako
Kwa kuongezea chemsha bamia na ngogwe bilinganya kula kila siku huwa zinasaidia.
Ndizi matoke na cabage kula mara kwa mara ute utaongezeka.
 
Hayo yote namshukur mung sijafanyiwa wala sina zaman nilikuwa nipo vizur tu na naupata au mazingira pia yanasababisha hali hii
Na zamani ulkua unaupata ukiwa na mwanaume huyo ulienae hadi sasa au ni mwingine?
 
Maan nimebadili mazingira au nalo pia ni tatizo? Ila nikiwa katk mazingira yale nilokulia yale nilozoea nakuwa kama kawaida na ute unakuwep Ila nikirudi huku ndo nakuwa siuoni
Fafanua hapo vizuri, kwa maana ya mkoa mwingine au nchi nyingine?, na kote unafanya na mwanaume huyohuyo au tofauti?
 
Kama hauna maradhi yoyote ya bacteria na au fungus basi fanya hivi:

Kula sana matikiti maji na matango na juisi ya karoti kwa wingi.

Karoti, avocado, karanga mbichi zisikose katika milo yako ya siku.

Fanya chatni ya uwatu uwe unakula mara kwa mara.

Pia kila siku kunywa glass moja ya juice ya aloevera.,

Fanya hivyo kwa miezi mitatu mfululizo kisha tuletee majibu.

Matokeo utaanza kuyaona wiki ya tatu toka utapoanza hiyo diet.
We ajuza ute unao?
 
Mwanamke kutopata ule ute ute hali hii inatokana na nini maana mimi huwa siupati hata nikikaribia ovulation siupati kabisa naombeni munisaidie kama kuna uwezekano hata wa kutumia dawa nami nikawa nao karibuni kuchangia
Au uliutumia wote akasahau kuwa utauhitaji baadae
 
Hebu mwone daktari alafu utahitajika na mmeo. Hapo utaambiwa ni issue ya saikolojia coz huenda before kuolewa ulitumika sana au ni biological nature. Mmeo ataambiwa afanye kukuandaa mda mrefu na kutumia sana maunda kama water melon eg
 
Back
Top Bottom